Polepole kakosaje Uwaziri?

Ndo kwanza mwanzo.Kwanza uwaziri utamnyima sauti kutetea kuondoa ukomo wa madaraka.Hili likiisha atakuwa tu waziri.
Mkuu,
Unaona mbali sana.
Kanaenda kuwa kapigadebe kubadililisha ukomo wa Raisi.
 
La

Labda kjna kitu kakipinga huko ndani au kakataa kumwita rais Mheshimiwa yeye kamwita ndugu.....
Angekuwa kampinga angeshalishwa sumu. Ni kujikwezakweza kwake, anataka kumpiku Jiwe, kila siku front page kwenye media/press.
 
Kwa mawazo yangu nilidhan Polepole amepewa Ubunge ili akawe waziri
But mzee kaniprove wrong

Sasa je polepole kakosa nn mpk kutolewa kijanja kwa gia ya ubunge?
Je nan atachukua nafasi yake? Makonda/Manara/ Jerry muro??
koneksheni
 
Mie nilisema huyu ameenda kupaki kama Bulembo.
Yametimia!!
 
Kwa mawazo yangu nilidhan Polepole amepewa Ubunge ili akawe waziri
But mzee kaniprove wrong

Sasa je polepole kakosa nn mpk kutolewa kijanja kwa gia ya ubunge?
Je nan atachukua nafasi yake? Makonda/Manara/ Jerry muro??
Hata bulembo baada ya kampeni mwaka 2015,alipelekwa bungeni
Kumsaidia Rais ukiwa mbunge sio lazima uwe waziri
 
Kwa mawazo yangu nilidhan Polepole amepewa Ubunge ili akawe waziri but mzee kaniprove wrong.

Sasa je Polepole kakosa nini mpaka kutolewa kijanja kwa gia ya ubunge?
Je nani atachukua nafasi yake? Makonda/Manara/ Jerry Muro??
Yule anaenda kuwa chawa wa Mwenyekiti bungeni, taarifa zote za kimbeya mbeya huyu ndio atakuwa anampelekea mwenyekiti.
 
Kwa mawazo yangu nilidhan Polepole amepewa Ubunge ili akawe waziri but mzee kaniprove wrong.

Sasa je Polepole kakosa nini mpaka kutolewa kijanja kwa gia ya ubunge?
Je nani atachukua nafasi yake? Makonda/Manara/ Jerry Muro??
huna taarifa??
Polepole yupo bungeni kwaajili ya kujibu hoja za covid 19 na yule malaria mmoja (aida),coz yeye ndiye anayewaweza pekee
Nothing more☺

#jr
 
Kwa mawazo yangu nilidhan Polepole amepewa Ubunge ili akawe waziri but mzee kaniprove wrong.

Sasa je Polepole kakosa nini mpaka kutolewa kijanja kwa gia ya ubunge?
Je nani atachukua nafasi yake? Makonda/Manara/ Jerry Muro??

Anatolewa taratibu
 
Hakuna katibu mwenezi muongo km huyu. Alimdanganya sn meko. Huyu kala hela nyingi sn za ununuzi wa wabunge. Yeye na Bashiru walimdanganya kuwa uchaguzi huu hakuna upinzani lakini Nguvu alioingia nayo mbeligiji hakuamini. Tutegemee mwenezi na katibu mkuu mwingine...Bashiru atarudi kushika chaki UDSM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…