Polepole hakutakiwa kusema hili jambo

Alipogusa interests za kina singasinga na genge lake , hapo ali cross line. Vikao vya siri vya kuondoa pain in the ass vilipitisha haraka kilicho mkuta polepole.

Japo kina wassira wanaongea kinafiki ila mioyoni wanaumia kumpoteza polepole. Watafanya nini sasa na kinywa kinaenda kinywani kwa unafiki wao?
 
Mwenye kiu ya uuaji hahitaji sana sababu kubwa ya uanakharamu wake.Yule kijana Chaula alitamka kipi kibaya sana hadi kupotezwa?Muuaji ni muuaji tu.
 
Polepole alifanya ujinga mwingi sana kipindi Cha jiwe.. hasa manunuzi ya wapinzani kwa nguvu na kuharibu mfumo wa demokrasia..

Ila najua Polepole aliumia sana baada ya kuona Jiwe akipelekwa ahera kabla ya muda wake.

Kilichowaudhi wakubwa huko juu ni
- Issue ya makaa ya mawe hasa Rostam

- Issue ya Tume ya Uchaguzi na NIDA.. yaani wanachukua taarifa zako na kujaza kwenye mafomu yao na unonekana umepiga kura..kumbe uko zako nyumbani

- Issue ya viongozi kufutiwa kinga ya kustakiwa

- Issue ya kuteka watu kisiasa akihusisha Jeshi la Polisi na usalama wa taifa
 
Mawazo yako ya kipuuzi
Sio mawazo mdogo wangu.

Nina info zaid kwenye hili.
Unaweza kusema ni ya kipuuzi kwasababu ww hutak yawe jinsi yalivyo. Ila ndivyo yalivyo.

Na hii inapeleka had wao kwa wao wawe na chuki. Sasa utajiuliza Why Chuki?.

Nchimbi akipewa maji na Nchemba hawez kunywa. (Na vice versa).
Ni mifumo miwili tofauti.

Naomba anzia kuangalia kauli za Mama na jinsi zinavyoungwa mkono. Na Nchemba vs zinavyoungwa na Nchimbi.

Then utaona nan yuko upande wa Mama.
 
Hatufiki 2030 kabla Mungu hajaingilia kati.
Ile chance ya Octoba 29 ndio ilikuwa timing nzur . Maana jeshi lingeunga mkono Raia siku za mbeleni.

Bila wambura tungekuwa tunasema memgine .
Na Wambura pamoja na kumaliza muda wake. Akaongezewa miaka 2. Na ataongezewa mingne 2. Maana Mama anamuamini.

Now ni hadi 2030.
Na Wana mfumo wameridhika maana naona wanayotaka ndio yanafanyika.
 
As long as Polepole alisema Nchimbi hafai,mimi naamini Nchimbi hafai
 
Polepole alishapata nafasi kuwa karibu na watawala na tabia yake halisi alionyesha sijui kwanini anaonekana ni kama masihi ilihali matendo yake na anachoongea hata haviendani

Utasikia mtu anakuambia kenya niwapambanaji ila ulienda kenya unabaki unashangaa wananchi wengi wanaishi kwenye umaskini
 
Masikini Polepole.
 
Aligeuka mwiba kwa wana mtandao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…