THE FIRST BORN
JF-Expert Member
- Apr 24, 2019
- 2,478
- 5,322
TUTAKUEPO😂2030 patakuwa patamu sana.
Huku Nchimbi (kipenz cha wana mfumo) na kule Nchemba (kipenz cha Mama).
Kijana wa Idara
Kabisa lazima kuepo maumivu kwa ajili ya kusimuliwa kizazi kijacho waelewe namna gani watu waliumiaAkina PolePole, mauaji ya MO29, kuwekwa Jela Tundu Lisu na mengine mengi ni mambo ya kawaida kutokea kwa nchi yoyote ile inayotafuta mageuzi au mabadiliko kwa ustawi wajamii…Sio rahisi nchi kupata mabadiliko au mageuzi kwa njia ya amani, lazima damu za watu zimwagike…imetokea South Afrika, Kenya, Rwanda na kwengine.
Na wakimuacha uyu mama afike 2030, kuna damu nyingi zaidi zitamwaga, maana atataka kumuacha kibaraka wake kwa nguvu zile zile alizotumia Oktoba 29.
Hitimisho: Huwezi kuzuia mabadiliko hasa kwa nchi kma Tanzania ambako Maraisi wanabadilika badilika hata kma ni ya chama kimoja. (The enemy within).
Na ndoto yako kubwa ni ulitaka kua mfanyakazi wa kwenye mabasi ya Allys😂Mimi ni fom foo felia
fomu foo felia ndio wana run uchumi wa Tanganyika.Mimi ni fom foo felia
Mimi sio kitengo na wala sio mwana siasa na wala sina chama chochote, ila mi ni mtu tu ambae nafatilia siasa kupitia vyombo vya habari na mitandao ya kijamii.
Katika kufatilia zile harakati za pole pole wakat ameanza injili ya ukombozi, kuna kitu alikisema na alivyokisema mi moja kwa moja nilimwambia Mzee wangu hapa huyu jamaa hawamuachi hata kwa uchawi watamuua tu..Mzee akacheka sana.
Ila ukweli ni kua pamoja na yale yote Pole Pole kuongea na wakubwa kuguswa Maungio yao waliumia sawa ila haikua kwa kiasi cha kuwaza kumpoteza..Pole pole alisema Mengi ila katika hayo Mengi ni Moja tu ndio lilopelekea wamusake na wamupoteze.
Pole pole aliposema tu kua Tunatakiwa tukikomboa hii Nchi Ile Ibara ya kusema Rais aliekua madarakani hashitakiwi ifutwe na tuanze na hawa.
Pale aligusa mwiba SAMIA akaona kumbe hutaki tu kuwafumbua macho watanzania bali unataka ninyongwe au nifungwe.
Na wafatiliaji wa zile Live zake nahisi mtakumbuka wakat anasema lile jambo aliomba samahan alijua athari zake zitakazo kuja...alijua kua ile kauli itamuuma sana SAMIA..ila lazima iwe hivo.
We ungekua Mkulu ungefanya aje?
Najua we una mawazo mazuri ungewaza tofauti ila wengine ndio hivo ni form four failure.
Na ndoto yako kubwa ni ulitaka kua mfanyakazi wa kwenye mabasi ya Allys
jamaa katudharau fom foo feliafomu foo felia ndio wana run uchumi wa Tanganyika.
Hao wote CCM haipitishi, mwenyekiti wao alishasema atamchagua mwenyewe anayemtaka na sidhani kama hao wawili anawataka. Msishangae mgombea ni Ridhiwani na kwa unafiki wa CCM watampitisha kwa 100%!!2030 patakuwa patamu sana.
Huku Nchimbi (kipenz cha wana mfumo) na kule Nchemba (kipenz cha Mama).
Kijana wa Idara
Hao wote CCM haipitishi, mwenyekiti wao alishasema atamchagua mwenyewe anayemtaka na sidhani kama hao wawili anawataka. Msishangae mgombea ni Ridhiwani na kwa unafiki wa CCM watampitisha kwa 100%!!
Bila katiba kubadilika tunapoteza muda tu
We hutaoza?Watanzania walivyo wajinga, am sure wapo tena wengi sana wanasubiri kumwona H. Polepole akiwa hai.
ahahaha 😂 😂 😂 😂 😂.
Tapeli slo slow ashaoza
Sasa South Afrika, Kenya na kwingineko huko kuna nini kipya zaidi ya uanaharakati uchwara tu? Watu bado maskini vile vile. Hii dunia haiendeshwi kwa maneno na siasa, inaendeshwa na wenye nguvu, wenye akili, wenye subira, wenye vitendo, wenye matokeo.Akina PolePole, mauaji ya MO29, kuwekwa Jela Tundu Lisu na mengine mengi ni mambo ya kawaida kutokea kwa nchi yoyote ile inayotafuta mageuzi au mabadiliko kwa ustawi wajamii…Sio rahisi nchi kupata mabadiliko au mageuzi kwa njia ya amani, lazima damu za watu zimwagike…imetokea South Afrika, Kenya, Rwanda na kwengine.
Na wakimuacha uyu mama afike 2030, kuna damu nyingi zaidi zitamwaga, maana atataka kumuacha kibaraka wake kwa nguvu zile zile alizotumia Oktoba 29.
Hitimisho: Huwezi kuzuia mabadiliko hasa kwa nchi kma Tanzania ambako Maraisi wanabadilika badilika hata kma ni ya chama kimoja. (The enemy within).