Mpaka mtu anajaribu kumuona raisi wa nchi ili ampe rushwa na anamtajia hela atakayomhonga na anaachwa anaondoka salama ndiyo anakuja polepole kumwaga pumba zake huku uraiani, kama ni hivyo kuna tatizo kubwa sana
Taratibu zinafahamika, kwamba mtu akitaka kutoa au kupokea rushwa toa taarifa TAKUKURU, ina maana ikulu haifahamu huu utaratibu?, polepole asilete ujinga hapa
Samahani mkuu hivi hizi tetesi kuwa;
askari wa mwamvuli alihongwa kipande cha dhahabu haikua DOA?.
vasco da gama alihongwa suti haikua DOA?.
madoa yameanza muda na kila zama na kitabu chake!..
Samahani mkuu hivi hizi tetesi kuwa;
askari wa mwamvuli alihongwa kipande cha dhahabu haikua DOA?.
vasco da gama alihongwa suti haikua DOA?.
madoa yameanza muda na kila zama na kitabu chake!..
Yani hawa wazungu tunaoaminishana wana akili wameshindwa jua weakness ya mkulu kwelii..hiki kitabu kipya hakihongeki kwa hela sijui kwanini hawashtuki tu!!