Poppy Hatonn
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 3,971
- 6,670
Kuna uchaguzi? Ni elected position gani bado hujui itajazwa na nani?Wakati ule walipomtoa katika Ile kazi ya Katibu Mwenezi.
Wakampeleka kwenye Kamati ya Maadili for no clear reason.
Baadaye CCM wakaamua kwamba they will rehabilitate him . Wakampeleka Malawi kuwa balozi halafu Cuba. Ile ilikuwa change of heart for CCM. Kwa Polepole ilikuwa restoration and rehabilitation. Kwa hiyo labda sasa Polepole yuko resentful na labda anataka kulipiza kisasi kwa haya maneno anavyosema.
Polepole amekuwa akisema kwamba CCM imwondoe Mama,iweke mgombea urais mwingine. Lakini kama CCM imeshakataa,hakuna sababu na hakuna tija kwa Polepole kuendelea kusema anataka Mama aondolewe.
Na mambo anayoongea sasa hivi yanakuwa ni distraction katika Uchaguzi.
What Polepole is currently facing is called a Road to Damascus Moment. He's facing a monster his took pleasure in engineering.Mbona hujadili sababu anazotoa Polepole kwanini anataka Mh.Samia asigombee?
Kuukataa hoja yake sababu yupo peke yake au wapo wachache ndani ya CCM wanataka SSH asigombee haiondoi ukweli wa hoja au tuhuma zake.
Baba yako J.K. Nyerere aliwahi kusema na kuandika sehemu mtu mmoja anaweza kuwa sahihi na wengi wakawa wamekosea. Huyo mmoja anayo haki ya kusikilizwa kwa makini na ikilazimu hoja yake ipite.
Najua ulichomaanisha katika sentence yako.Huyo mkara ana akili
Haya mambo anayosema ni mazuri tu. Kwani hatuna haki ya kujua mema na mabaya wanayotufanyia wahuni?Wakati ule walipomtoa katika Ile kazi ya Katibu Mwenezi.
Wakampeleka kwenye Kamati ya Maadili for no clear reason.
Baadaye CCM wakaamua kwamba they will rehabilitate him . Wakampeleka Malawi kuwa balozi halafu Cuba. Ile ilikuwa change of heart for CCM. Kwa Polepole ilikuwa restoration and rehabilitation.
Kwa hiyo labda sasa Polepole yuko resentful na labda anataka kulipiza kisasi kwa haya maneno anavyosema.
Polepole amekuwa akisema kwamba CCM imwondoe Mama,iweke mgombea urais mwingine. Lakini kama CCM imeshakataa,hakuna sababu na hakuna tija kwa Polepole kuendelea kusema anataka Mama aondolewe.
Na mambo anayoongea sasa hivi yanakuwa ni distraction katika Uchaguzi.
Total confusion! Wadhungu wa tz hatariWhat Polepole is currently facing is called a Road to Damascus Moment. He's facing a monster his took pleasure in engineering.
He speaks some truths, but still Cherry Picks to absolve himself from total liability.
Naunga mkono hoja GE2025 - Polepole, Asante kwa ukweli wako kuhusu kiini macho cha Uchaguzi. Hoja ya tusishiriki, haina tija tena na Uchaguzi Upo!Polepole amekuwa akisema kwamba CCM imwondoe Mama,iweke mgombea urais mwingine. Lakini kama CCM imeshakataa,hakuna sababu na hakuna tija kwa Polepole kuendelea kusema anataka Mama aondolewe.
Na mambo anayoongea sasa hivi yanakuwa ni distraction katika Uchaguzi.
Anatusaidia tu kujua vizuri kinachoendelea na tabia za CCM. Kimsingi na yeye ni tatizo wakati wanashinda enzi za mwendazake, kuna foul nyingi zilikuwa zinafanyika na hakuthubutu kutetea maslahi ya wengi.WAtu pekee mnaopata shida ni mliokuwa mnaaminigi uchaguzi huwaga ni huru na haki.
Polepole ataendelea kuongea mpaka ataanza kuchoka, hiyo ndo ccm
Naam, naunga mkono kila nuktaAnatusaidia tu kujua vizuri kinachoendelea na tabia za CCM. Kimsingi na yeye ni tatizo wakati wanashinda enzi za mwendazake, kuna foul nyingi zilikuwa zinafanyika na hakuthubutu kutetea maslahi ya wengi.
Na sasa ni mapambano ndani ya chama chao lakini anapeleka tuone kama ni maslahi ya taifa moja kwa moja.
Kwa mtazamo wangu, ni Tundu Lissu tu ndio ka prove kuwa kuna kitu anatamani kifanyike kwa maslahi ya wengi, kwa maana ya depth na height alizoenda katika kupambania anachokiamini.
Nakubaliana na wewe
Aya meneno mnadanganywa nanani kitoto ivi mbona kisheriaMama Kakaza Shingo.....! Kwa madai ya Mama ni kwamba akipita hapa ndo atakuwa anaanza awamu yake ya Kwanza jumlisha awamu ya pili.
Sasa jumlisha na hii ya anayomalizia, Jumlisha na pale alipokuwa makamu wa Raisi....ina maana yupo yupo anga hizo itatimia Miaka 20...!