Yaani akili yako yoooote ndiyo imeishia hapo? Kwani hata Elementary Biology hujawahi kusoma?
Tangu uzaliwe hadi leo kuna vaccines ngapi umewhai kuchanjwa? Kuna vaccine unachanjwa ukizaliwa tu, wala hata wazazi wako hawajui. Kuna vaccine nyingi mno, ya ugonjwa wa Njano, Malaria, tetenasi, reprosy etc etc etc
Akili yako iko centred kwenye libido, kama Botha alivyokuwa anatukana watu weusi SA kuwa akili zao zinaishia kwenye libido!!!!!!!!!!!!!