Hiii issue imetokea jana. Anyway, you are missing the point. Haya sio mashindano ya nani anaongelewa na nchi ngapi. Huo ni utoto, distraction.Umesikia nchi ngapi zinaongea kupinga utekaji wa polepole ukilinganisha na Lissu. Sio swala la kukamatwa kila mtu anaweza kukamatwa lakini je nani atakupigania. Lissu kuna mpaka mabalozi wanaenda kwenye kesi lakini huyu mjamaa feki ndug yetu anatekwa na hakuna wakumtetea nje ya Tanzania kwasababu yeye mwenyewe alikuwa anapenda hizo serikali za kitekaji. Hata wakenya tu masikini yangu
Inaelekea hamjui nguvu ya Lissu kwamba nje ya Tanzania ni kubwa sana
Kwahiyo?Funny fact
Sura ya Humphrey Polepole nimeijua jana
Nilikuwa nasikia jina tuuu lakini sikuwa najua sura yake
Ukishasema neno beberu tayari kuna shida hapo,Mabeberu hawana msaada wowote kwenye issue ambazo ni domestic.Ingekuwa wana msaada leo Tundulissu angekuwa huru maana ni mfuasi wa falsafa za kibepari.Kapigwa risasi kibao walisaidia nini?
Hiii issue imetokea jana. Anyway, you are missing the point. Haya sio mashindano ya nani anaongelewa na nchi ngapi. Huo ni utoto, distraction.
Jambo muhimu ni kupinga haya matendo maovu kwa raia yoyote wa Tanzania. Haki za msingi za raia zilizopo kwenye katiba ya JMT zinatakiwa kuheshimiwa.
Kama mtu yoyote ana makosa, amekosea akamatwe na polisi kwa mujibu wa sheria na sio kutekwa, kufikishwa mahakamani na sio kufichwa, kuteswa,kupotezwa, kuuwawa na haki itendeka akifikishwa mahakamani kwa mujibu wa sheria za JMT zetu na ushahidi usio na shaka.
Ni tabia ya Ajabu, rekebisha.And you really had to come for my comment???!
TL ana connection kubwpaUmesikia nchi ngapi zinaongea kupinga utekaji wa polepole ukilinganisha na Lissu. Sio swala la kukamatwa kila mtu anaweza kukamatwa lakini je nani atakupigania. Lissu kuna mpaka mabalozi wanaenda kwenye kesi lakini huyu mjamaa feki ndug yetu anatekwa na hakuna wakumtetea nje ya Tanzania kwasababu yeye mwenyewe alikuwa anapenda hizo serikali za kitekaji. Hata wakenya tu masikini yangu
Inaelekea hamjui nguvu ya Lissu kwamba nje ya Tanzania ni kubwa sana
Akili ya kawaida unamfananisha Polepole na Mdude? yule anajuwa matusi tu hoja zero. Mdude mtu mmoja wa hovyo kabisa hafai hata kumjadili hapa.Mdude naye Mjamaa?
Yeah sure,ni tabia ya ajabu kushindwa kumind your b'ness,badilikaNi tabia ya Ajabu, rekebisha.
ScrollKwahiyo?
Uliandika Public ili tuone, maoni yangu ni hayo.Yeah sure,ni tabia ya ajabu kushindwa kumind your b'ness,badilika
Hoja yake ni kwamba Lissu angetekwa kungekuwa na Kelele nyingi. Kwamba unahamasisha watu wasijali sababu aliyetekwa ni Polepole sio? Unahamisha mjadala, nguvu kwenda sehemu ambayo haina tija, haisaidii Taifa.Karibu sana sisi tumeongea haya kwa miaka 10 sasa naona ndiyo misukule mnatoka usingizini
Yani nchini nyingine wakutolee msaada ambao upo ndani ya uwezo wa maamuzi ya wananchi?Maoni yanayopotosha kama haya huchukiza
Hao unaosema mabeberu huo msaada kwa nini hawautoi kwa wanaoonewa na kuuwawa Kenya, Uganda, Rwanda? Au huko napo wanaoonewa na kuuwawa ni wajamaa?
Umesema vema aiseeLissu sio mjamaa alikamatwa na Samia mbele ya maelfu ya wafuasi na wanachama wa chama chake na askari wachache tu. Wengi wamepiga kelele kumtetea Lissu including wasio wa chama chake kama Polepole, Warioba, Gwajima.
Hii ni issue ni kwa Watanzania wote kwa pamoja kukemea na kukataa uhuni wa hili genge. Sio kuanza kusema huyu ni mjamaa, bepari, cdm, ccm, Mkristo, muislamu, kafir.
Unawasaidia sana wahuni kwa kuwagawanya Watanzania na kuondoa focus na pressure kwa watekaji.
Polepole asingekuwa mjamaa angepata support zaidi!
Ukiwa mjamaa hakuna wakukutetea maana wenyewe wanaamini chama kuliko uhai wa mtu. Polepole alipenda hizo nchi za kijamaa kama China, N Korea na Cuba sasa ubaya wa mifumo ya kijamaa ni ya mtu Mungu.
Polepole sasa ni ngumu kumuombea msaada kwa record zake za kuita nchi mebeberu! Hao Mabeberu ndiyo watetea haki za binadamu wale wachina na wa Cuba masikini hata rambirambi hawatoi maana wenyewe ubinadamu ni kitu cha mwisho uchawa na upambe ndiyo uko mbele