Funny fact
Sura ya Humphrey Polepole nimeijua jana
Nilikuwa nasikia jina tuuu lakini sikuwa najua sura yake
Unafiri genge la wahuni linajali wewe ni bepari au mjamaa. Lissu yupo jela, kibao, chaula, sativa walitekwa hawa ni wajamaa?Polepole asingekuwa mjamaa angepata support zaidi!
Ukiwa mjamaa hakuna wakukutetea maana wenyewe wanaamini chama kuliko uhai wa mtu. Polepole alipenda hizo nchi za kijamaa kama China, N Korea na Cuba sasa ubaya wa mifumo ya kijamaa ni ya mtu Mungu.
Polepole sasa ni ngumu kumuombea msaada kwa record zake za kuita nchi mebeberu! Hao Mabeberu ndiyo watetea haki za binadamu wale wachina na wa Cuba masikini hata rambirambi hawatoi maana wenyewe ubinadamu ni kitu cha mwisho uchawa na upambe ndiyo uko mbele
lakini Lissu akipotea leo kelele ingekuwa tofauti!Unafiri genge la wahuni linajali wewe ni bepari au mjamaa. Lissu yupo jela, kibao, chaula, sativa walitekwa hawa ni wajamaa?
Utumbo mtupuPolepole asingekuwa mjamaa angepata support zaidi!
Ukiwa mjamaa hakuna wakukutetea maana wenyewe wanaamini chama kuliko uhai wa mtu. Polepole alipenda hizo nchi za kijamaa kama China, N Korea na Cuba sasa ubaya wa mifumo ya kijamaa ni ya mtu Mungu.
Polepole sasa ni ngumu kumuombea msaada kwa record zake za kuita nchi mebeberu! Hao Mabeberu ndiyo watetea haki za binadamu wale wachina na wa Cuba masikini hata rambirambi hawatoi maana wenyewe ubinadamu ni kitu cha mwisho uchawa na upambe ndiyo uko mbele
Lissu sio mjamaa alikamatwa na Samia mbele ya maelfu ya wafuasi na wanachama wa chama chake na askari wachache tu. Wengi wamepiga kelele kumtetea Lissu including wasio wa chama chake kama Polepole, Warioba, Gwajima.lakini Lissu akipotea leo kelele ingekuwa tofauti!
You had to make it abt you?Funny fact
Sura ya Humphrey Polepole nimeijua jana
Nilikuwa nasikia jina tuuu lakini sikuwa najua sura yake
You had to make it abt you?
Lissu sio mjamaa alikamatwa na Samia mbele ya maelfu ya wafuasi na wanachama wa chama chake na askari wachache tu. Wengi wamepiga kelele kumtetea Lissu including wasio wa chama chake kama Polepole, Warioba, Gwajima.
Hii ni issue ni kwa Watanzania wote kwa pamoja kukemea na kukataa uhuni wa hili genge. Sio kuanza kusema huyu ni mjamaa, bepari, cdm, ccm, Mkristo, muislamu, kafir.
Unawasaidia sana wahuni kwa kuwagawanya Watanzania na kuondoa focus na pressure kwa watekaji.
Ujamaa ushakufa toka miaka ya 90 Cuba ndio nchi ya mwisho kuachana na ujamaaPolepole asingekuwa mjamaa angepata support zaidi!