Poleni watanzania

lucas ngoto

Member
Joined
Sep 13, 2013
Posts
69
Reaction score
3
Najuwa watanzania wenzangu mmekuwa na pilikapilika za hapa na pale kwa ajili ya kutafuta riziki pole sana nawatakia usiku mwema
 
Dah, asante sana mkuu. Ni thread ya maana sana hii, tumezoea za ugomvi na matukano but hii ndo ya kwanza after a long time.

Barikiwa sana!
 
asante sana mkuu! nimechoka leo kweli kweli.
 
Wengine huku tulipo ndio kwanza jogoo kawika...usiku mwema huko ulipo!!!
 
haaaa! nilifikiri ni majanga yametokea kumbe ni pole za kawaida
asante lakini mhmm!
Najuwa watanzania wenzangu mmekuwa na pilikapilika za hapa na pale kwa ajili ya kutafuta riziki pole sana nawatakia usiku mwema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…