Magaidi tu ndio hushambulia raia wenzao. Tz inaongozwa na rais, katili, na chama cha magaidi, hotuba zao, hii gelea kama si kuwaua, basi ni kuwapoteza na kuwajeruhi WaTz wengine! Sijui akili na utashi wao una tafsiri gani ya vyama vingi?Nimehuzunika mno kushuhudia mauaji TZ. Wanahabari wa Tanzania wako na swali la kujibu! Walinyamaza mauwaji yakiendelea!
KweliNi mafara hao, dhambi yao ni kuu mbinguni.