Michael snow
Senior Member
- Aug 31, 2013
- 102
- 12
Hata haichekeshi!
mwanamziki akifa husindikizwa kwa NYIMBO,,mwanajeshi husindikizwa kwa kupigiwa MIZINGA,, kuanzia sasa mwalimu akifariki atasindikizwa kwa VIBOKO

Na wewe tukuzike kwa kutumia nini?
asantee