Kumbuka hii: pamoja n kuwa jangwa kwa 96%,nchi ya misri inazalisha sukari zaidi ya bongo. Tafakari hiyo kwanza.
Mimi pia nilidhani ni mwekezaji ameweka 800 million $, kumbe msaada tu, yenye watalipa wajukuu ya wajukuu wako .TRADE NOT AID will build Africa.