Poleni Waganda kwa huu msiba

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
56,668
30,551
BASI LIITWALO GLOBAL LIKITOKEA MBARARAA KUJA KAMPALA LIMEPATA AJALI NA KUUA WATU 14

HABARI ZINASEMA CHANZO NI NGOMBE

FUSO AMBAYO ILITANGULIA KWA MBELEILIPOONA NGOMBE NA KUSUBIRI WAVUKE BARABARA IKASIMAMA

WAKATI IMESIMAMA NYUMA KUNA PIKPIK NA NYUMA YA PIKKPIK KUNA HIACE.. LOH NYUMA YA HIACE NDIO KUKAANZIA MSIBA GLOBAL IMEACHIWA VILIVYO IKAENDA IKAPIGA HIACE WAKAVURUGWA VURUGWA NAKUFA

HIACE IKAENDA NA KUMSUKU. A YULE MWENYE PIKPIK AMBAE ALIGONGA NYUMA YA FUSO AKAFIA HAPO

NIMESHANGAA SANA HILI NAWENZANGU MLIOPITA UGANDA MNAWEZA KUKUBALIANA NAMI YAANI NGOMBE ZINAPITA MJINI KAMA WATU.. SASA HUKO KARIBU NA VIJIJINI NDIO SHIDA

TOKA KAMPALA NENDA JINJA AIBU NJIAN MNASIMAMA NGOMBE WANAVUKA BARABARA HILO NALO N TATIZO

KINGINE BARABARA ZA UGANDA NYEMBAMBA NA NJIA TATU ZITAWAUA KWELI JILIPUEN FOURLANE KAMA MAGUFULI.. NAYO INACHANGIA AJALI NA VIFO VISIVYOTARAJIWA
AAAA-701x526.jpg
AAAA1-701x526.jpg
TRUCK-701x526.jpg
Screen-Shot-2017-01-04-at-1.37.08-PM-701x525.png
Screen-Shot-2017-01-04-at-1.37.17-PM-701x517.png
Screen-Shot-2017-01-04-at-1.36.59-PM-701x572.png

 
poleni wafiwa Mungu awape nguvu faraja na wepes wakati huu mgumu mnaopitia
 
Ajili inasikitisha Sana, Polen Sana wafiwa Kwa kuondokewa na wapendwa wenu. Rest In Peace.
Sheria kali itungwe Kwa watu wanaotumia barabara kupitisha mifugo na waweke alama ya kivuko cha wanyama, magari yapunguze speed.
 
Back
Top Bottom