Mjuba yuko wapi MN,WA,MA,OH, au wapi?
after all ww unapeta mpaka unachoma nyama na akina lola.
Poleni watu wa huko majuu na baridi la namna hii.Tunamshukuru Mungu kwa kutotupa weather kama hii otherwise tungeshakufa kwa kukosa vipasha joto.
Najua nanyi kimtindo mnakula shida kwa kukaa ndani masaa yote na kushindia biskuti na vipapatio vya ndege.Nasiki gonjwa linalowapa taabu huko ni mafuu? Lol
Poleni wa Midwest Chicago,Twin cities MN,Detroit,Toledo,Columbus,Potland,Boston na kwingineko.Mkishindwa masnoo karibuni tule vumbi.
Tuambiani experience yenu ya kuishi kwenye masnoo chungulieni dririshani mfotoe mapicha ya snoo alafu mtuwekee.

Tunao akina lola wetu wenye natural booty usipime.....Hehehehe..yeah...Lola Luv yuko hapa until after Christmas....wenye ku hate jinyongeni...
Jamaa yuko Sverige....
Mkuu Yoyo si kweli watu wanashindia biskuti na vipapatio vya ndege na mafua ndiyo ugonjwa unaowasumbua watu. Msosi ni pumzi yako tu unless unataka kusave 99.9999% na hata kama unaishi sehemu zenye baridi kama unajishindilia vizuri basi mafua utayasikia kwenye bomba tu lakini kamwe hayatakusumbua lakini kama unaishi kwenye baridi na kutaka kuvaa kama uko Dar basi siyo mafua tu yakayokusumbua unaweza hata kurudisha namba.
Watu wanaenda kujirusha kwenye vilabu mbali mbali, wanaenda makazini (kama snow iliyoanguka siyo nyingi sana) na shopping.
Poleni watu wa huko majuu na baridi la namna hii.Tunamshukuru Mungu kwa kutotupa weather kama hii otherwise tungeshakufa kwa kukosa vipasha joto.
Najua nanyi kimtindo mnakula shida kwa kukaa ndani masaa yote na kushindia biskuti na vipapatio vya ndege.Nasiki gonjwa linalowapa taabu huko ni mafuu? Lol
................................................
Mkuu, it has been cold like hell. We can't complain, it is that period of cold cold no sun.
kuna wadau wapo sibiri, huko baridi -60 .
Hii kitu ingetokea huku kwetu bongo kwa hali duni ya maisha ya watu wetu na serikali zilivyo careless, nina imani tungekiona cha moto....Mungu mkubwa kila mtu anapewa mzingo kulingana na nguvu za kubeba..
Sisi hapa baridi imetupiga mara kadhaa lakini tumeepuka snow mpaka
leo. Tushapewa winter advisory ya kuanzia midday na mwenzio nina
darasa la jioni. I just hope and pray they cancel the classes maana
I HATE driving in this damn thing.
Mnabahati sana, snow ya kwanza hapa ilikuwa December 2, 2009. Tukapigwa na nyingine tarehe 13, tukapigwa na nyingine wakati wa Krismas bila ya kusahau Mwaka mpya. Nje bado kweupee, sasa imekuwa ice. Basi ni kaazi kweli kweli unapokuwa kwenye teens.