J JOSE KASANO Senior Member Joined Apr 23, 2013 Posts 122 Reaction score 95 Mar 30, 2014 #1 Nikiwa miongoni mwa walimu wapya katka safari za kwenda kuripoti kwa wakurugenzi,nimekumbana na kikwazo cha usafiri. Basi la OSAKA kutoka DAR-BUKOBA ni majanga kwani wanapima hadi majaketi abiria alovaa, kila kamfuko na kujumlsha kilo ili kulipia.
Nikiwa miongoni mwa walimu wapya katka safari za kwenda kuripoti kwa wakurugenzi,nimekumbana na kikwazo cha usafiri. Basi la OSAKA kutoka DAR-BUKOBA ni majanga kwani wanapima hadi majaketi abiria alovaa, kila kamfuko na kujumlsha kilo ili kulipia.
Parata JF-Expert Member Joined Jul 26, 2011 Posts 3,090 Reaction score 693 Mar 30, 2014 #2 makubwa,watapima hadi ujazo wa vyakula tumboni mkuu shinda njaa.
Munkari JF-Expert Member Joined Feb 9, 2013 Posts 8,084 Reaction score 4,365 Mar 30, 2014 #3 Ha ha mkuu pole bana naona wamekukombea vipoketi mane vyako dah jamaa wabayaa!!!
Munkari JF-Expert Member Joined Feb 9, 2013 Posts 8,084 Reaction score 4,365 Mar 30, 2014 #4 Sam Love said: makubwa,watapima hadi ujazo wa vyakula tumboni mkuu shinda njaa. Click to expand... ha ha hulali!!!
Sam Love said: makubwa,watapima hadi ujazo wa vyakula tumboni mkuu shinda njaa. Click to expand... ha ha hulali!!!
DZUDZUKU JF-Expert Member Joined Nov 8, 2012 Posts 3,936 Reaction score 2,144 Mar 30, 2014 #5 Munkari said: ha ha hulali!!! Click to expand... Wewe ni balaaa, maana comment yako ya mwisho jana ni ya saa tano na nusu usiku, saa kumi uko macho. Mda wenyewe huu hapa. Last Post: Munkari, Yesterday, 23:51.
Munkari said: ha ha hulali!!! Click to expand... Wewe ni balaaa, maana comment yako ya mwisho jana ni ya saa tano na nusu usiku, saa kumi uko macho. Mda wenyewe huu hapa. Last Post: Munkari, Yesterday, 23:51.
Yuzhonai JF-Expert Member Joined Oct 6, 2011 Posts 303 Reaction score 69 Mar 30, 2014 #6 hahahaaa pole sana mkuu.. inaonekana jamaa wana njaa kalii
Munkari JF-Expert Member Joined Feb 9, 2013 Posts 8,084 Reaction score 4,365 Mar 30, 2014 #7 DZUDZUKU said: Wewe ni balaaa, maana comment yako ya mwisho jana ni ya saa tano na nusu usiku, saa kumi uko macho. Mda wenyewe huu hapa. Last Post: Munkari, Yesterday, 23:51. Click to expand... ha ha khaaa jamani weye mdaku ! Miye mlinzi humu !!
DZUDZUKU said: Wewe ni balaaa, maana comment yako ya mwisho jana ni ya saa tano na nusu usiku, saa kumi uko macho. Mda wenyewe huu hapa. Last Post: Munkari, Yesterday, 23:51. Click to expand... ha ha khaaa jamani weye mdaku ! Miye mlinzi humu !!
DZUDZUKU JF-Expert Member Joined Nov 8, 2012 Posts 3,936 Reaction score 2,144 Mar 30, 2014 #8 Munkari said: ha ha khaaa jamani weye mdaku ! Miye mlinzi humu !! Click to expand... Your living double life eti.........mchana mwalim, jioni mfanya biashara, usiku mlinzi, hapo utapumzika ukiwa babu.
Munkari said: ha ha khaaa jamani weye mdaku ! Miye mlinzi humu !! Click to expand... Your living double life eti.........mchana mwalim, jioni mfanya biashara, usiku mlinzi, hapo utapumzika ukiwa babu.
Munkari JF-Expert Member Joined Feb 9, 2013 Posts 8,084 Reaction score 4,365 Mar 30, 2014 #9 DZUDZUKU said: Your living double life eti.........mchana mwalim, jioni mfanya biashara, usiku mlinzi, hapo utapumzika ukiwa babu. Click to expand... fainali uzeeni?!
DZUDZUKU said: Your living double life eti.........mchana mwalim, jioni mfanya biashara, usiku mlinzi, hapo utapumzika ukiwa babu. Click to expand... fainali uzeeni?!
DZUDZUKU JF-Expert Member Joined Nov 8, 2012 Posts 3,936 Reaction score 2,144 Mar 30, 2014 #10 Munkari said: fainali uzeeni?! Click to expand... Kweli bwana, usije ukacheza fainali saa hizi. Piga kazi mpaka kazi zitambue umekuja kupiga kazi.
Munkari said: fainali uzeeni?! Click to expand... Kweli bwana, usije ukacheza fainali saa hizi. Piga kazi mpaka kazi zitambue umekuja kupiga kazi.
Munkari JF-Expert Member Joined Feb 9, 2013 Posts 8,084 Reaction score 4,365 Mar 30, 2014 #11 DZUDZUKU said: Kweli bwana, usije ukacheza fainali saa hizi. Piga kazi mpaka kazi zitambue umekuja kupiga kazi. Click to expand... haswaaaaah!!
DZUDZUKU said: Kweli bwana, usije ukacheza fainali saa hizi. Piga kazi mpaka kazi zitambue umekuja kupiga kazi. Click to expand... haswaaaaah!!