Pesa za kutunza mara nyingi sio nyingi kiasi hizo, wengi hutunza/toa sadaka buku 5-20 ni ubishoo tu; huwa nashangazwa sana kwenye makanisa ya wenye nazo wakitangaza matoleo utasikia Milioni 12, dola 230, pound 45, Ksh 20000 n.k
Hapa mke wa Sharobaro wa Clouds DJ Ventune akitunza kwa madolari baada ya kupata mtoto wa kiume...
Kiongozi ni kama AMEJITUNZA!!!!!??????
<!-- google_ad_section_end -->
kweli shilingi yetu imepoteza umaarufu nimeamini,naikumbuka ile "blue" (10,000 shs.) ya mkapa ilivyokuwa inatisha sokoni!wapi wekundu wa msimbazi siku hizi..?
kweli shilingi yetu imepoteza umaarufu nimeamini,naikumbuka ile "blue" (10,000 shs.) ya mkapa ilivyokuwa inatisha sokoni!wapi wekundu wa msimbazi siku hizi..?