Pole sana rafiki yangu. Ndoa hizi!

Mioyo imejaa simanzi,hofu imetawala hatuna hakika ya uhai wa huyu dada,(aliyemdanganya mumeweee)

Simu zake zote hazipatikani na mume hapokei simu za ndugu wote (wa kwake na wa mkewe pia)
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
 
Mnhh.. Mkuu ya kweli haya...
 
Mwambie jamaa yako aje achukue makaa ya mawe bure...😎😎
 
Ukioa Ondoa fikra za "kumiliki na kutawala" mwili wa huyo mwanamke. Jikite kwenye kujiburudisha kwenye mwili wake!
 
Hilo ndio suala la msingi. Ukithibitisha kaliwa nje mpe uhuru akaliwe zaidi. Unavuta ngozi nyengine u aendelea na maisha.
 
Sawa sawa. Ila kama hutapenda watoto wako walelewe na baba mwingine pia ujiandae na lile swali la baba kwani mama yuko wapi? Ukweli ni kwamba hata mm ningechukua maamuzi kama yako na hilo swali kutoka kwa watoto ningelijibu
 
Wanaume mna mioyo ya makuti mwanamke akisaliti afu kwa upande wenu usaliti mnaonaga ni jambo dogo sana ata muwe na mahawara 100 uko amtaki mwanamke aseme, asa jamaa kamla siku moja tu iyo ndo anampiga ivo
So wewe kuliwa siku moja sio kesi kwa mume/mtu wako sio? Hahaaa nimekupenda bure
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…