fimboyaasali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 8,606
- 8,269
Ina maana mpaka leo hii hujui nguvu ya mtu akipewa urais wa Tanzania?Huyu bwana anastahili pole kubwa sana, humu kila mtu anadai eti ni mnafiki kwakuwa alimsaliti Lowassa kuwa rais wa nchi, hivi naomba kuuliza, JK alikuwa na mamlaka yepi ya yeye peke yake, kumkatalia Lowassa kuwa rais? Kwani CCM ingekuwa inataka Lowassa awe rais, JK angeweza kuizuia CCM. Acheni unafiki, JK hajamsaliti rafiki yake, ni CCM ndio ilikataa.
hebu nipe wewe maelezo ambayo rais pekee anaweza kuamua kitu na wengine wote wakakubaliIna maana mpaka leo hii hujui nguvu ya mtu akipewa urais wa Tanzania?
kwahiyo?Jk alikuwa rais na mwenyekiti wa chama
wachaga
Aiseee!Itoshe kukueleza kwamba acha mizinguo.hebu nipe wewe maelezo ambayo rais pekee anaweza kuamua kitu na wengine wote wakakubali
Mtandao wa 1995 to 2005 wote watakinywea kikombe kwa dhambi nzito walizotenda ili kuukwaa urais. Lowassa kaumiza wengi sana na JK zamu yake inakuja kisha Rostam.Huyu bwana anastahili pole kubwa sana, humu kila mtu anadai eti ni mnafiki kwakuwa alimsaliti Lowassa kuwa rais wa nchi, hivi naomba kuuliza, JK alikuwa na mamlaka yepi ya yeye peke yake, kumkatalia Lowassa kuwa rais? Kwani CCM ingekuwa inataka Lowassa awe rais, JK angeweza kuizuia CCM. Acheni unafiki, JK hajamsaliti rafiki yake, ni CCM ndio ilikataa.
Huyu bwana anastahili pole kubwa sana, humu kila mtu anadai eti ni mnafiki kwakuwa alimsaliti Lowassa kuwa rais wa nchi, hivi naomba kuuliza, JK alikuwa na mamlaka yepi ya yeye peke yake, kumkatalia Lowassa kuwa rais? Kwani CCM ingekuwa inataka Lowassa awe rais, JK angeweza kuizuia CCM. Acheni unafiki, JK hajamsaliti rafiki yake, ni CCM ndio ilikataa.

hebu nipe wewe maelezo ambayo rais pekee anaweza kuamua kitu na wengine wote wakakubali
Sawa JkHuyu bwana anastahili pole kubwa sana, humu kila mtu anadai eti ni mnafiki kwakuwa alimsaliti Lowassa kuwa rais wa nchi, hivi naomba kuuliza, JK alikuwa na mamlaka yepi ya yeye peke yake, kumkatalia Lowassa kuwa rais? Kwani CCM ingekuwa inataka Lowassa awe rais, JK angeweza kuizuia CCM. Acheni unafiki, JK hajamsaliti rafiki yake, ni CCM ndio ilikataa.
Huyu bwana anastahili pole kubwa sana, humu kila mtu anadai eti ni mnafiki kwakuwa alimsaliti Lowassa kuwa rais wa nchi, hivi naomba kuuliza, JK alikuwa na mamlaka yepi ya yeye peke yake, kumkatalia Lowassa kuwa rais? Kwani CCM ingekuwa inataka Lowassa awe rais, JK angeweza kuizuia CCM. Acheni unafiki, JK hajamsaliti rafiki yake, ni CCM ndio ilikataa.
Usijifanye hujui wakati sote tunajua, ni Kikwete aliyeharibu njia ya Lowassa kuingia Ikulu huku akitumia hila na ufedhuli.Huyu bwana anastahili pole kubwa sana, humu kila mtu anadai eti ni mnafiki kwakuwa alimsaliti Lowassa kuwa rais wa nchi, hivi naomba kuuliza, JK alikuwa na mamlaka yepi ya yeye peke yake, kumkatalia Lowassa kuwa rais? Kwani CCM ingekuwa inataka Lowassa awe rais, JK angeweza kuizuia CCM. Acheni unafiki, JK hajamsaliti rafiki yake, ni CCM ndio ilikataa.