Pole sana dada

Nyie msilete unafiki hapa tuulizeni sisi tunaoishi nyumbani. ...uyo dada ni haki yake kupewa iyo azabu ....kwa sababu1hapo kwa muajiri wake amekaa siku 26tu. .2hakuna nyumba unayoweza kukaa siku 26eti useme umenyanyaswa kiasi cha kulipiza kwa mtoto wa mwajiri wako azabu kubwa vile. ..sikatai kuna sehem mtu ananyanyaswa to th maxmum mpaka unamuonea huruma mweee yani huyu dada anaonekana sijui kapagawa na life yani amkungute mtoto kiasi kile bado umuonee huruma? ...labda ahojiwe aseme wamemzulumu mshahara au maana hata mwez hana. ..mim simuonei huruma kwa kweli apigwe tuu
 
Tatizo ni kitu kimoja au viwili hivi
1. Wafanyakazi wa ndani hawana mikataba kwa hiyo mwajiri wake humwajiri kiholela na huweza kum;lipa mshara wake akijiskia.
2. Kazi ya ndani haijarasmishwa kwa mba ni kazi inayotambulika kimataifa ndio maana watu wengi hupenda ajiri mabinti wadogo wadogo ili kukamilisha adhima yao ya kuwanyanyasa na kuwatumia watakavyo.
3.Kunawaajiri wengi wanaowataka kimapenzi wafanyakazi wa ndani na pindi waonyeshapo misimamo yao hupakaziwa makosa ambayo wafanyikazi hawa huonekana ni kero na mzigo na sio msaada
4.Asili ya wanawake wengi ni wenye wivu hupenda kuona mfanyikazi wandani akiwa viklevilke alivyokuja yaani hakuna mabadiliko mfano kuvaa vizuri, Kujengeka kiafya namengine mengi hivyo wafanyikazi hawa hunyanyaswa sana na wake zetu kiasi kwamba nao huona malipizi ni kwa wanawe wanaowalea, baba mwenye nyumba akiingilia kazi utaskia anatokanae kwanini amtetee
Wadau yapo mengi sana mengine waje wafaniyikaziwa ndani wenyewe waongezee
 

Summarize the above passage in not less than 75 words!
 
wee, kwanza amekuwepo for only 26 days. pili, hakuna watoto wakubwa pale wa kumpa nguo zao chakavu
 
Kwangu kwema kabisa, sijui wewe na pressure zako za ESCROW, vipi account yako inasomaje sasa hivi?
 
well said.
 
Una uwezo wa kujua kile ambacho mwingine anafikiri?

hapana sina huo uwezo..
mi nimesema nini kwani.??? nilichosema fupisha habari kwa maneno yasiyozidi 75 akasema sijaeleweka nikajibu sina uhakika akasema nani nikasema aliesema sijaeleweka..
 
Hili ni kweli.
Kuna wakati wamama wenye nyumba wanaroho mbaya sana kwa wadada
na pia
Kuna wakati wadada ndio wanaroho mbaya unampa kila kitu lakini anachokifanya duhh

Ila me huwa sielewi kwanini hutokea hivi:
Wale wadada wanaopata Mabos wakali ndio wanakuwaga wapole, watiifu, wachapakazi
Ila
Wale wadada wanaopata mabos wapole ndio wanakuwa wakorofi, si watiifu, wavivu, utakuta unamwambia hiki yeye anafanya kile...ukitoka naye hayupo yupo mitaani anapiga stori na shogaze au kaenda kwa bwana yake.
Sasa sielewii..




 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…