Rage hana utu kabisa kwa waliokuwa wachezaji wa Simba,hata Mafisango wanamdhulumu jamani mbona ni aibu kubwa sana....!!sembuse Alphonse Modest alieacha kucheza Simba zaidi miaka 8 huko nyuma??wachezaji wajipange sana wasijisahau na kulewa sifa na beer za bure na wasichana!