Pole Ridhiwani Kikwete

Status
Not open for further replies.

Mizizi

JF-Expert Member
Mar 8, 2008
1,275
391
PAMOJA NA KUTUMIA GHARAMA KUBWA SANA KUUSAKA UBUNGE WA CHALINZE Ili kupunguza upinzani wa CUF na Chadema... sasa Chadema wameibuka na mbinu mpya ya kujiondoa katika mbio hizo na hivyo kukutia hasara bure... Mgombea wa Chadema anadai eti yeye alipanga hilo tangu maapema.. ila alifanya hivyo makusudi kwa maslahi ya wananchi wa chalinze waliojipatia kipato wakati huu wa kampeni kama posho za kupambana na wapinzani.. Matayo anaomba ashukuriwe na wale wote walioitwa chalinze kwa ajili ya kupambana na chadema na kupewa pesa nyingi.. huku chadema yenyewe ikiwa haipo...
Poleni sana MaCCM mtakaokosa posho kwa siku hizi zilizobaki.. maana tunajua CUF si wapinzani wa kweli
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom