Jamani
! Upinzania unaelekea wapi
? Kwani kwenye Siasa hakuna Yellow Card, kama mpirani?, nadhani CUF, NCCR Mageuzi na vyama vingine, fanyieni kazi mambo au madai ya wanachama na viongozi mnao wapa RED CARDS, maana Sababu zilizofanya muwafukuze uanachama ndizo sababu hizo hizo zitafanya kuwafukuza wengine na wengine, mimi nadhani kuwepo na kipengele cha ukomo wa uongozi mfululizo katika nafasi za juu na si kiongozi anangangania Ukatibu Mkuu au Uenyekiti kwa zaidi ya Miaka 15. Tunahitaji watu wapya, uongozi tofauti na mabadiliko ya kila baada ya Miaka kadhaa ili kuboresha vyama vya upinzani. Chukueni baadhi ya utaratibu wa CCM..Mfano; Mwenyekiti wa Chama mya, atateua Katibu Mkuu mpya, makamu wa Mwenyekiti, na uongozi wote wa juu atakaefanyanae kazi vizuri kwa kipindi chake nk