Poleee dear ex mwenzako nipo salamaa,
Mambo ya mastress nishasahau hizo zamaa,
Alafu sizeeki nadekezwa utadhani mwana,
Tena mchoyo hakiombeki penzi sio la kugawana,
Ujinga wakuombana password za JF kwa sasa hakunaa
Mada inakuhusu wewe mwenyewe sio exAsantee mamiii...yatakwishaa lakini
EeeeeehPole kwa kuteseka
Mada inakuhusu wewe mwenyewe sio ex
Tayariiii....Kwani bado hayajaishaaa?
HongeraTayariiii....
Sanaa mkuu....jamvi likichanika ikiwa ibaki moja basi lazima uumie kianaAisee!
Kumbe kuna watu wanaumizwa na huu mchezo wa kamali wa mapenzi!
Kwa hiyo nifanye mpango arudii?Bado unampenda Hadi umemkumbuka.
Wee jamaa haufanani na misamiati hata dahMtumbwi uliokuvusha unauita gogo
Hiyo ni mistari ya wimbo mpya wa mbosso mkuuWee jamaa haufanani na misamiati hata dah
Upu vyema
Sawa lakini si imefiti mahala pako?Hiyo ni mistari ya wimbo mpya wa mbosso mkuu
Tupate umbea bana. Darsa tutapata yakitukuta.Kwani ni vipi mkuu funguka basi tupate darsaa