Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,053
- 6,335
naona anaongea na mshkaji wake chris brown, duh yuko juu sana
c.rap,uhamiaji ya marekani wakujue wewe omari nyembo!!!!!
Msanii Omary Nyembo alimaarufu kama Ommy Dimpoz amefunguka na kusema kuwa watu wa uhamiaji duniani kote huwa hawatambui umaarufu wa mtu pindi wanapogundua kuna kitu hakijaenda sawa,Ommy Dimpoz amefunguka hayo leo kapitia ukurasa wake wa Intrgram baada ya mwimbaji kutoka Marekani Chris Brown kuzuiliwa kuingia Canada na kusababisha kusitishwa kwa show zake mbili ambazo alitakiwa kuzifanya Canada ndani ya wiki hii.
Ommy Dimpoz ameonyesha jiNsi gani watanzania na mashabiki wake walilipokelea suala lake tofauti na kuonyesha kuwa watu wengi walimcheka na kumchamba wakiamini kuwa yeye ni mtu maarufu hivyo asingeweza kupatwa na suala hilo.
"Pole braza Kristofa, haya ni Mambo ya kawaida ila Mwenzio nilivyozuiwa kuingia Nchini kwenu Basi nilivyorudi kwetu nimechekwaaa,Nimechambwaa khaa,hawajuagi mambo ya Uhamiaji hawajali we nani."
Wiki ya wapendanao msanii Ommy Dimpoz alirudishwa Tanzania baada ya kuzuiwa kuingia Marekani kwa kukosa vibali vinavyomruhusu kuingia nchi hiyo kufanya show.
Eti anajifanya chris brown size yake,yan huyu mbwa ana kichaa sio bure
c.rap,uhamiaji ya marekani wakujue wewe omari nyembo!!!!!
Eti anajifanya chris brown size yake,yan huyu mbwa ana kichaa sio bure
c.rap,uhamiaji ya marekani wakujue wewe omari nyembo!!!!!
kwa hizo suruali za rangi ya shikilimu ama neeeneee??
atupishe hapa!!
Yani nyie watu mmenichekesha balaaa eti nae anajifanya level ya chriss
c.rap,uhamiaji ya marekani wakujue wewe omari nyembo!!!!!
Dah, mbona tofauti sana na mada?!!Nasikia ulialikwa na Chama chetu Ccm.vizuri ila nawashauri nyie wasanii,msikubali kutumiawa Kama tissue na Chama chetu,hebu amkeni mdai haki zenu.Nakumbuka uchaguzi uliopita wasanii mlikipigia Chama chetu kampeni ya kutosha.walikuwepo Tmk,marehemu ngwea,bushoke na wengine wengi.lakini baada ya hapo tulipochua nchi tupa Kule .nilifikiri wakina mama na baba vijijini wanapewaga kanga,na kofia ili kuchagua Chama chetu kutokana na uelewa mdogo,hata nyinyi mnaojua nchi inavyokwenda mnahongwa laki laki,kuwasaliti watz.amkeni 2015
c.rap,uhamiaji ya marekani wakujue wewe omari nyembo!!!!!