Pokea namba za CHADEMA, wajulishe ya kituoni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Pokea namba za CHADEMA, wajulishe ya kituoni

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Nikupateje, Oct 31, 2010.

 1. N

  Nikupateje JF-Expert Member

  #1
  Oct 31, 2010
  Joined: Dec 22, 2009
  Messages: 1,314
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 160
  Wakubwa,

  Nimeona ni bora nianzishe thread maalumu kwa ajili ya namba za simu za CHADEMA ili kila mwenye mapenzi mema nao awajulishe kama si kwa kupiga basi walau kuwatumia message tu.

  TUmeso kuhusu matukio mengi ambayo yanahitaji kuwasiliana moja kwa moja wana-CHADEMA. Mfano ni kuchelewa kwa mawakala wa upnzani baadhi ya vituo na kukuta wakala mmoja hasa ile subuhi.

  Hofu ni pale mtu analeta post ya malalamiko lakini anamalizia na kauli kwamba "walio na mawasiliano na watu wa CHADEMA" wawajulishe

  Nimaemua kulimaliza hili kwa kuanzisha thread hii na kwa kuanzia ninazitaja namba zifuatazo za CHADEMA nilizo na uhakika ziko hotline kwa UCHAGUZI:

  01: Mbogo: 0683-179001, 0714-776673
  02: Mahinda: 0715-949019
  03: Dady Igogo: 0713-616096
  04: John Mnyika: 0754-694553

  Hivyo tatizo la contact za CHADEMA sasa si issue. Wajulishe chochote unachokihisi negatively.
  Moderators tunawasihi thread hii msiichanganye, iwe as conspicuous as possible yaani ipewe uwazi wa kutosha.
   
 2. P

  PapoKwaPapo JF-Expert Member

  #2
  Oct 31, 2010
  Joined: Jun 5, 2008
  Messages: 380
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  yangu mbona hujaiweka?
   
 3. T

  The King JF-Expert Member

  #3
  Oct 31, 2010
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 357
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Iweke basi mkuu au mtumie PM jamaa ili aweke.
   
 4. c

  chanai JF-Expert Member

  #4
  Oct 31, 2010
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 279
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Great!
   
 5. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #5
  Oct 31, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Tuko ndani ya uwanja wa vita mbinu kama izi zinafaa kummaliza adui
   
 6. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #6
  Oct 31, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,504
  Likes Received: 19,920
  Trophy Points: 280
  makamba?
   
 7. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #7
  Oct 31, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 543
  Trophy Points: 280
  asante sana Mheshimiwa
   
 8. Somoche

  Somoche JF-Expert Member

  #8
  Oct 31, 2010
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 3,828
  Likes Received: 930
  Trophy Points: 280
  Mnyika tena 0784222222
   
 9. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #9
  Oct 31, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Taarifa njema sana ya hizi Namba, shime na tupeleke maoni yoyote tunayoona yatatukwamisha kushinda!
   
 10. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #10
  Oct 31, 2010
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Thanks wakuu
   
 11. Relief

  Relief JF-Expert Member

  #11
  Jan 9, 2011
  Joined: Aug 6, 2010
  Messages: 255
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  tihi tihihiiiiiiiii..........umezianika namba zao hadharani mjomba,watawadip ohoooo or sorry namaanisha watawabipu.....!!!tihiiii.....:A S 41:
   
 12. M

  Mwan mpambanaji JF-Expert Member

  #12
  Jan 9, 2011
  Joined: Apr 3, 2008
  Messages: 468
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
Loading...