moyafricatz
JF-Expert Member
- Nov 27, 2015
- 2,905
- 4,947
Nylon au katani?Uzi tayar
sasa kipi kinacho kushangaza hapo???Picha ikumuonesha mpambe wa Rais mwenye jezi kijana za j wizo akimpa mkasi mlinzi mwingine wa Rais kwa nyuma bila kugeuka ...
Akiwa bado 90Β° anaangalia mbele.
View attachment 1711592
Ha ha haaaa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Uzi tayar
Ha ha ...Sasa kipi cha ajabu hapo, wakati sisi wengine tuna uwezo wa kupiga mbu.pu bila kuangalia K?! [emoji2986]
Wanakata kamba hawachinji kambaHivi kwann wasitumie kisu badala ya mkasi
Aaah, si vizuri ulivyofanya! π€£ π€£ π€£ π€£Wanakata kamba hawachinji kamba
Picha ikumuonesha mpambe wa Rais mwenye jezi kijani za j wizo akimpa mkasi mlinzi mwingine wa Rais kwa nyuma bila kugeuka ...
Akiwa bado 90Β° anaangalia mbele.
View attachment 1711592
Huyo shushushu wa nyuma asipoupokea mkasi, je aliyeshika mkasi atautupa chini? Atageuka nyuma na kumwambia oyaaa pokea mkasi au atautia mfukoni?? ha ha haaaaaaa KasieMaswali....:
Huyo shushushu wa nyuma asipoupokea mkasi, je aliyeshika mkasi atautupa chini? Atageuka nyuma na kumwambia oyaaa pokea mkasi au atautia mfukoni??
Hawa mashushushu wengine wawili wenye kaunda za bluu hapa mbele muvumenti yao sijaielewa......
Mmoja kama anataka amchomoe au aweke kitu kwenye mfuko wa suruali wa mwenzie.
Au kuna kitu mkuu amedondosha wanajiandaa kukiokota..!??
Ila wawe wanafanya sit ups jamani mweeeh....!!ππ½ββοΈππ½ββοΈππ½ββοΈππ½ββοΈππ½ββοΈ
Ujue ulichowaza na Mimi niliwaza, labda asingerespond angeurudisha mfukoni.Aaabeeeehhh....!!!