Princerahym
Member
- Sep 2, 2021
- 6
- 2
Jamani swali langu ni kuwa je! Pointsman (Mtumishi katika shirika la reli) huwa kwa Tanzania analipwa mshahara wa kiasi gani?
357000/Na mimi nasubiri jibu.
Hata kabla hatujajua anachukua kiasi gani.., hio Position ipo ? kwa Afya ya Reli yetu asije tu anajikuta anaongoza hewa / upepo....
Nimeona hiyo nafasi ndio maana nikauliza kwa maana nimeona ni bora nijue kabla sijaingia alafu yakanikuta 🙏
Kumbe ndio hiyo duh🤭357000/
Hii ni opportunity kwao au kwa Mwombaji
Thank youKimsingi pointsman ni mtu ambaye majukumu yake ni kubadilisha njia za reli wakati wa kufanya train mashalling. Scale yake ni TRCS 1
Ni Sawa na Tsh Ngapi hiyo mkuu?Kimsingi pointsman ni mtu ambaye majukumu yake ni kubadilisha njia za reli wakati wa kufanya train mashalling. Scale yake ni TRCS 1
