greater than
JF-Expert Member
- Sep 22, 2018
- 1,764
- 3,229
Yeah ametupa precautions!
70% ya Oxygen inatoka baharini, inazalishwa na planktons,,,inasukumwa nchi kavu na upepo.Miti si inaleta oxygen
Nashukuru kama umeweza kuisoma hiyo makala na kuielewa...
NyingineMAKALA YA 10Karibuni tena katika MAKALA za ujenzi.Leo nataka tuangazie juu ya makosa mbalimbali yanayofanyika katika ujenzi wa majengo .
1.KUNUNUA VIWANJA KATIKA MAENEO HATARISHI
Kuna watu wanataftaga majanga kabla hata ya kuanza ujenzi kwa kununua ardhi kwenye maeneo ni hatari kwa ujenzi na hawana uwezo wa kudhibiti,maeneo hayo ni kama.
2.RAMANI BATILI
- Mabonde ya mito mf.Jangwani na Kawe Makao mapya
- Ardhi yenye mfinyanzi mkali
- Mteremko mkali
- Hifadhi ya Mikoko mf Ununio na Kilongawima
- Hifadhi ya barabara za mikoa na Wilaya
- Hifadhi za nguzo za njia za umeme mkubwa,Mabomba makubwa ya maji,Gesi na Mafuta
- Hifadhi za Reli
- Maeneo ya wazi,Makaburi
- Hifadhi za Misitu na Mbuga
Utakuta mtu ana Pakua Ramani mtandaoni,ambapo
Pia mtu kutumia Ramani ya Nyumba iliyojengwa Masaki ije ikae vilevile maeneo ya Chanika au Goba.
- Ramani maalum kwa mazingira ya baridi kali,
- Ramani ni ya floor ya ghorofa ila bila kujua ataitumia chino
3.KUTOKUWA NA BAJETI
- Ramani lazima iendane na kiwanja chako na mazingira yake.
Mtu atakuwa na Ramani,lakini hakuna mpango maalum wa matumizi katika ujenzi.
Hali hii pia inajenga uoga katika kuanza ujenzi.
- Gharama ya Ujenzi Goba ni tofauti na Gharama za Kunduchi
- Kubaki kuuliza mitandaoni, hivi kiasi gani kinatosha,au hapa nina kiasi kadhaa.
- Kama harusi unaiandalia bajeti na kamati,basi hata ujenzi bajeti muhimu.
4.UTUMIZI WA MALIGHAFI/MATILIO MBOVU
Fundi au Mmiliki wa jengo anaweza lazima kutumia malighafi mbovu.
5.UHARAKA KWENYE UJENZI
- Mchanga wenye chumvi
- Simenti ya kiwango duni
- Tofali za bei chee
Hapa unakuta Mmiliki au Fundi anafanya Ujenzi kwa haraka ya ajabu
Nyumba inatakiwa ichukue si chini ya 28,Kabla ya kuweka Paa...Hapo utapata jengo bora
- Kuta hazitokauka vizuri,mwishowe kutu
- Slab za zege kunepa
- Nguzo kulala
6.KUJENGA KIPINDI CHA MVUA
Haishauriwi mtu ujenge kipindi cha mvua kwani.
7.UBAHIRI
- Matofali huongezeka uzito
- Mortar ni ngumu kukauka
- Zege litakuwa na maji mengi
- Unyevu huathiri mambo mengi hata shughuli za ndani ya jengo,gypsum
Kuna Watu huweka ubahili mbele kuliko tajwa la ubora wa jengo,yani yupo radhi kutumia pesa nyingi kwenye sherehe kuliko ujenzi
8.UPANDAJI MITI KARIBU NA KUTA
- Atatumia fundi uchwala
- Atanunua matilio feki
- Atafuata ushauri wa watu wasio na taaluma
Kupanda miti karibia na jengo au uzio nalo ni suala hatarishi.
Ushauri wahitajika juu ya aina ya miti,umbali na matumizi ya jengo.
- Miti husababisha nyufa
- Miti Hupunguza mwanga kupita kwenye jengo
- Miti husababisha unyevu katika kuta
- Miti huzuia upepo
9.WATAALAM/MAFUNDI
Kwenye wataalam wa ujenzi huwa kuna makosa kadhaa nayo huwa wanafanya
10.Ushauri mkuu naoweza kutoa kwa mtu mwenye ndoto ya kuja kumiliki jengo ni,
- Tamaa: Mwishowe huwaibia wateja wao
- Kutojiendeleza kielimu: Wakisha maliza vyuo au miaka 10 kwenye ujenzi hudhani anamudu kila kitu
Nakaribisha Maswali,Maoni na Ushauri
- Shirikisha mtaalam katika kila hatua,kuanzia umiliki wa kiwanja
- Tambua ujenzi ni hatua, siyo lazima ikamilike ndani ya mwaka
- Tumia mafundi bora na matilio bora
Unaweza tuma za sehemu jengo lako lenye tatizo...
Heri ya Sikukuu ya Muungano 🥳👫
Hapo ndipo nafasi ya Msanifu majengo/Architect inapokuja.....Nyingine
*Kutozingatia muundo wa jengo la jirani
Mfano dirisha la bedroom kutizama upande kilipo choo cha nyumba ya jirani.
*kutozingatia uelekeo wa upepo na miale ya jua,uzamaji wake na uchwaji wake,chumba cha kulala hakipaswi kuwekwa upande linapochomozea jua,na choo hakipaswi kiwékww upande wenye strong wind,harufu inaweza kuzagaa hadi jikoni
Asante mkuu. Naomba kuuliza, kwa kawaida chumba cha jiko kinatakiwa kuwa na ukubwa gani kwa wastani? Yaani meter au foot ngapi kwa ngapi.MAKALA YA 10Karibuni tena katika MAKALA za ujenzi.Leo nataka tuangazie juu ya makosa mbalimbali yanayofanyika katika ujenzi wa majengo .
1.KUNUNUA VIWANJA KATIKA MAENEO HATARISHI
Kuna watu wanataftaga majanga kabla hata ya kuanza ujenzi kwa kununua ardhi kwenye maeneo ni hatari kwa ujenzi na hawana uwezo wa kudhibiti,maeneo hayo ni kama.
2.RAMANI BATILI
- Mabonde ya mito mf.Jangwani na Kawe Makao mapya
- Ardhi yenye mfinyanzi mkali
- Mteremko mkali
- Hifadhi ya Mikoko mf Ununio na Kilongawima
- Hifadhi ya barabara za mikoa na Wilaya
- Hifadhi za nguzo za njia za umeme mkubwa,Mabomba makubwa ya maji,Gesi na Mafuta
- Hifadhi za Reli
- Maeneo ya wazi,Makaburi
- Hifadhi za Misitu na Mbuga
Utakuta mtu ana Pakua Ramani mtandaoni,ambapo
Pia mtu kutumia Ramani ya Nyumba iliyojengwa Masaki ije ikae vilevile maeneo ya Chanika au Goba.
- Ramani maalum kwa mazingira ya baridi kali,
- Ramani ni ya floor ya ghorofa ila bila kujua ataitumia chino
3.KUTOKUWA NA BAJETI
- Ramani lazima iendane na kiwanja chako na mazingira yake.
Mtu atakuwa na Ramani,lakini hakuna mpango maalum wa matumizi katika ujenzi.
Hali hii pia inajenga uoga katika kuanza ujenzi.
- Gharama ya Ujenzi Goba ni tofauti na Gharama za Kunduchi
- Kubaki kuuliza mitandaoni, hivi kiasi gani kinatosha,au hapa nina kiasi kadhaa.
- Kama harusi unaiandalia bajeti na kamati,basi hata ujenzi bajeti muhimu.
4.UTUMIZI WA MALIGHAFI/MATILIO MBOVU
Fundi au Mmiliki wa jengo anaweza lazima kutumia malighafi mbovu.
5.UHARAKA KWENYE UJENZI
- Mchanga wenye chumvi
- Simenti ya kiwango duni
- Tofali za bei chee
Hapa unakuta Mmiliki au Fundi anafanya Ujenzi kwa haraka ya ajabu
Nyumba inatakiwa ichukue si chini ya 28,Kabla ya kuweka Paa...Hapo utapata jengo bora
- Kuta hazitokauka vizuri,mwishowe kutu
- Slab za zege kunepa
- Nguzo kulala
6.KUJENGA KIPINDI CHA MVUA
Haishauriwi mtu ujenge kipindi cha mvua kwani.
7.UBAHIRI
- Matofali huongezeka uzito
- Mortar ni ngumu kukauka
- Zege litakuwa na maji mengi
- Unyevu huathiri mambo mengi hata shughuli za ndani ya jengo,gypsum
Kuna Watu huweka ubahili mbele kuliko tajwa la ubora wa jengo,yani yupo radhi kutumia pesa nyingi kwenye sherehe kuliko ujenzi
8.UPANDAJI MITI KARIBU NA KUTA
- Atatumia fundi uchwala
- Atanunua matilio feki
- Atafuata ushauri wa watu wasio na taaluma
Kupanda miti karibia na jengo au uzio nalo ni suala hatarishi.
Ushauri wahitajika juu ya aina ya miti,umbali na matumizi ya jengo.
- Miti husababisha nyufa
- Miti Hupunguza mwanga kupita kwenye jengo
- Miti husababisha unyevu katika kuta
- Miti huzuia upepo
9.WATAALAM/MAFUNDI
Kwenye wataalam wa ujenzi huwa kuna makosa kadhaa nayo huwa wanafanya
10.Ushauri mkuu naoweza kutoa kwa mtu mwenye ndoto ya kuja kumiliki jengo ni,
- Tamaa: Mwishowe huwaibia wateja wao
- Kutojiendeleza kielimu: Wakisha maliza vyuo au miaka 10 kwenye ujenzi hudhani anamudu kila kitu
Nakaribisha Maswali,Maoni na Ushauri
- Shirikisha mtaalam katika kila hatua,kuanzia umiliki wa kiwanja
- Tambua ujenzi ni hatua, siyo lazima ikamilike ndani ya mwaka
- Tumia mafundi bora na matilio bora
Unaweza tuma za sehemu jengo lako lenye tatizo...
Heri ya Sikukuu ya Muungano 🥳👫
Kwa uzoefu wangu 2.5m kwa 4m inatoshaAsante mkuu. Naomba kuuliza, kwa kawaida chumba cha jiko kinatakiwa kuwa na ukubwa gani kwa wastani? Yaani meter au foot ngapi kwa ngapi.
Hili jiko sebule mzeeyaKwa uzoefu wangu 2.5m kwa 4m inatosha
Moja ya maswali magumu kujibu huwa ni aya...Asante mkuu. Naomba kuuliza, kwa kawaida chumba cha jiko kinatakiwa kuwa na ukubwa gani kwa wastani? Yaani meter au foot ngapi kwa ngapi.
Watu hujenga kipindi cha mvua wakidhani wanapata 'lift' ya mvua kumwagilia kuta, kumbe pia ni kuzidisha majanga!MAKALA YA 10Karibuni tena katika MAKALA za ujenzi.Leo nataka tuangazie juu ya makosa mbalimbali yanayofanyika katika ujenzi wa majengo .
1.KUNUNUA VIWANJA KATIKA MAENEO HATARISHI
Kuna watu wanataftaga majanga kabla hata ya kuanza ujenzi kwa kununua ardhi kwenye maeneo ni hatari kwa ujenzi na hawana uwezo wa kudhibiti,maeneo hayo ni kama.
2.RAMANI BATILI
- Mabonde ya mito mf.Jangwani na Kawe Makao mapya
- Ardhi yenye mfinyanzi mkali
- Mteremko mkali
- Hifadhi ya Mikoko mf Ununio na Kilongawima
- Hifadhi ya barabara za mikoa na Wilaya
- Hifadhi za nguzo za njia za umeme mkubwa,Mabomba makubwa ya maji,Gesi na Mafuta
- Hifadhi za Reli
- Maeneo ya wazi,Makaburi
- Hifadhi za Misitu na Mbuga
Utakuta mtu ana Pakua Ramani mtandaoni,ambapo
Pia mtu kutumia Ramani ya Nyumba iliyojengwa Masaki ije ikae vilevile maeneo ya Chanika au Goba.
- Ramani maalum kwa mazingira ya baridi kali,
- Ramani ni ya floor ya ghorofa ila bila kujua ataitumia chino
3.KUTOKUWA NA BAJETI
- Ramani lazima iendane na kiwanja chako na mazingira yake.
Mtu atakuwa na Ramani,lakini hakuna mpango maalum wa matumizi katika ujenzi.
Hali hii pia inajenga uoga katika kuanza ujenzi.
- Gharama ya Ujenzi Goba ni tofauti na Gharama za Kunduchi
- Kubaki kuuliza mitandaoni, hivi kiasi gani kinatosha,au hapa nina kiasi kadhaa.
- Kama harusi unaiandalia bajeti na kamati,basi hata ujenzi bajeti muhimu.
4.UTUMIZI WA MALIGHAFI/MATILIO MBOVU
Fundi au Mmiliki wa jengo anaweza lazima kutumia malighafi mbovu.
5.UHARAKA KWENYE UJENZI
- Mchanga wenye chumvi
- Simenti ya kiwango duni
- Tofali za bei chee
Hapa unakuta Mmiliki au Fundi anafanya Ujenzi kwa haraka ya ajabu
Nyumba inatakiwa ichukue si chini ya 28,Kabla ya kuweka Paa...Hapo utapata jengo bora
- Kuta hazitokauka vizuri,mwishowe kutu
- Slab za zege kunepa
- Nguzo kulala
6.KUJENGA KIPINDI CHA MVUA
Haishauriwi mtu ujenge kipindi cha mvua kwani.
7.UBAHIRI
- Matofali huongezeka uzito
- Mortar ni ngumu kukauka
- Zege litakuwa na maji mengi
- Unyevu huathiri mambo mengi hata shughuli za ndani ya jengo,gypsum
Kuna Watu huweka ubahili mbele kuliko tajwa la ubora wa jengo,yani yupo radhi kutumia pesa nyingi kwenye sherehe kuliko ujenzi
8.UPANDAJI MITI KARIBU NA KUTA
- Atatumia fundi uchwala
- Atanunua matilio feki
- Atafuata ushauri wa watu wasio na taaluma
Kupanda miti karibia na jengo au uzio nalo ni suala hatarishi.
Ushauri wahitajika juu ya aina ya miti,umbali na matumizi ya jengo.
- Miti husababisha nyufa
- Miti Hupunguza mwanga kupita kwenye jengo
- Miti husababisha unyevu katika kuta
- Miti huzuia upepo
9.WATAALAM/MAFUNDI
Kwenye wataalam wa ujenzi huwa kuna makosa kadhaa nayo huwa wanafanya
10.Ushauri mkuu naoweza kutoa kwa mtu mwenye ndoto ya kuja kumiliki jengo ni,
- Tamaa: Mwishowe huwaibia wateja wao
- Kutojiendeleza kielimu: Wakisha maliza vyuo au miaka 10 kwenye ujenzi hudhani anamudu kila kitu
Nakaribisha Maswali,Maoni na Ushauri
- Shirikisha mtaalam katika kila hatua,kuanzia umiliki wa kiwanja
- Tambua ujenzi ni hatua, siyo lazima ikamilike ndani ya mwaka
- Tumia mafundi bora na matilio bora
Unaweza tuma za sehemu jengo lako lenye tatizo...
Heri ya Sikukuu ya Muungano 🥳👫
Mvua ,,,ikiambatana na high humidity...ni worst enemy to construction.Watu hujenga kipindi cha mvua wakidhani wanapata 'lift' ya mvua kumwagilia kuta, kumbe pia ni kuzidisha majanga!
Kwani huo upepo ni hewa gani? Au mimi ndio sijaelewa70% ya Oxygen inatoka baharini, inazalishwa na planktons,,,inasukumwa nchi kavu na upepo.
20% hutoka kwenye Misitu minene...Amazon,Congo,Siberia....
70% ya Oxygen inatoka baharini, inazalishwa na planktons,,,inasukumwa nchi kavu na upepo.