wadau ..
natafuta set ya mashine tajwa hapo juu kwa ajili ya mmini market.. nilijaribu kuielezea siku za nyumalakini nadhani sikueleweka..
ni kwa ajili ya sehemu moja tu... mfano wake ni ka ahizi picha chini..
View attachment 36607View attachment 36608
Nahitaji kwa mazingira ya kwetu bongo..
Msaada wa aina yeyote nitauthamini..
nawakilisha