mimi ninachotaka ni kile ambacho CAG alimpa Rais last week
sasa unasema twende kwenye website ya CAG tyumeenda lakini kuna yafuatayo:
National Audit Office of United Republic of Tanzania
1. Ripoti zilizopo ni za 2009
2. Hazifunguki
3. Kuna dalili za sisi walipa kodi kukosa access ya hizi ripoti na matokeo yake zinaonekana zitakuwa just for privedged few kama nyinyi wabunge mnaotutawala
4. Most imporatntly ninachokitaka mimi ni Same report ambayo CAG alimkabidhi Rais last week
whats so difficult about that?
what and why are you guys trying to hide?
Kaka report ya CAG ya 2010 bado ni siri,for ur information ts secret until the report is tabled at the parliament,I think from tuesday next week u will be able to access the report even NAO website!