PMNA: Pongezi Makamu wa Rais Bal. Dr Mchimbi Kuusema Ukweli Kuhusu Ujinga Huu wa Watu Kugombana Kwasababu ya Vyama!. Watanzania Tuukatae Ujinga Huu!.

Pascal Mayalla

Platinum Member
Joined
Sep 22, 2008
Posts
57,103
Reaction score
128,722
Wanabodi

Leo nimepata tena fursa ya kuwaletea PMNA.

Kwa vile hii PMNA ni kitu kipya, hizi siku za mwanzo nitakuwa kila siku nikifafanua PMNA ni nini.

PMNA ni news analysis, uchambuzi wa habari, kufuatia kuwepo kwa gaps kwenye news analysis kwenye media zetu, kuanzia magezeti, radio, TV na online media, hakuna uchambuzi wa habari on serious issues zinazolikabili taifa letu.

Kufuatia uzoefu wangu wa long experience ya zaidi ya miaka 30 newsroom, nina uwezo wa kufanya News analysis ya habari yoyote.

Kwenye News analysis yangu

Kwanza nitakuwekea News yenyewe
Kisha nitakuchambulia kilichosemwa au kuripotiwa kwenye News hiyo nikieleza ni what does it mean
Mwisho nitamalizia umuhimu wake kwa Taifa letu kwa maslahi ya taifa

PMNA ya leo ni kauli hii ya Makamu wa Rais, Balozi Dr Emmanuel Nchimbi, akikemea ujinga ujinga fulani ambao ni kweli upo sana tuu.

Kwanza tumsikilize Dr. Nchimbi kwenye video hii

View: https://youtu.be/6bTfOAJgt3w?si=Fr0vq9VdzfOcbQhV

Baada ya kuisikia tuje kwenye
nakala ya maneno (transcript) kutoka kwenye video hiyo. Video hiyo inamwonyesha Dr. Emmanuel Nchimbi (Makamu wa Rais) akizungumzia umoja wa kitaifa na umuhimu wa kuacha migogoro ya kisiasa.
  • Kila Mtanzania ana Wajibu: Dr. Nchimbi anasisitiza kuwa kila mtu ana nafasi na wajibu wa kuitumikia nchi, na hatupaswi kutegemeana bali kila mmoja atumie nguvu zake zote [00:00].
  • Kupinga Migogoro ya Vyama: Alieleza kutopendezwa kwake na migogoro ya vyama vya siasa, akiiita kuwa ni "ujinga" [00:11]. Anahoji kwanini watu wagombane ilhali nchi ni moja na ni ya wote [00:21].
  • Kukemea Lugha Chafu: Alikumbushia wakati akiwa Katibu Mkuu, alikuwa akimkemea mwana-CCM yeyote aliyekuwa akizungumza maneno ya ovyo dhidi ya vyama vya upinzani [00:29].
  • Vyama vya Siasa na Katiba: Alibainisha kuwa vyama vyote vimeundwa kwa mujibu wa katiba, na kujiunga na chama kingine ni njia tu ya kutaka kuitumikia nchi kwa mtazamo tofauti, lakini mwisho wa siku yote ni "utumishi" [00:35].
PMNA ya Video hii
Hapa Makamu Rais Balozi Dr Nchimbi, anathibitisha jinsi anavyokerwa na vitu fulani fulani vya kijinga jinga vinavyofanywa na viongozi wenzake, moja ya vitu hivyo vya kijinga ni kwa viongozi wa vyama vya siasa kugombana gombana kwasababu ya tofauti za kisiasa na tofauti za vyama. Huko Kugombana gombana amekuita ujinga.

Hii maana yake viongozi wetu wanaogombana kwasababu ya vyama, viongozi hao ni wajinga na huko Kugombana gombana kwasababu ya vyama ni ujinga!.

Akakumbushia alipokuwa KM wa Chama Kubwa, Chama Cha Mapinduzi, alikuwa akiona viongozi wa CCM wanatoa kauli mbofu mbofu dhidi ya upinzani, alikemea.

Amemalizia kwa kusisitiza usawa wa vyama kwa mujibu wa Katiba, watu wote wa vyama vyote wako kihalali kikatiba na kisheria kwenye vyama tofauti na vyote viko kwa maslahi ya taifa letu moja la Tanzania.

My Take
Hili jambo niliwahi kulizungumza humu hadi kuliandikia makala kwa kumpongeza yule Rais Samia wa enzi zile Asante sana Rais Samia kwa kuliponya Taifa. Umeonesha kwa kauli na matendo; tunajenga nyumba moja, hakuna sababu ya kugombea fito!
Screen Shot 2022-03-07 at 6.27.26 AM.png

Hivyo natoa wito kwa wana JF na Watanzania kwa ujumla, tuunge mkono kauli hii ya Makamu wa Rais Dr Emmanuel Nchimbi kwa kuukataa kabisa huu ujinga wa kugombana kwa ajili ya tofauti za kiitikadi au za vyama, na tusiihie kuukataa huo ujinga, bali pia tuwakatae, hao wajinga!.

Mungu Ibariki Tanzania

Paskali

Pia soma > Nchimbi: Mimi hata mambo ya kugombana kivyama vyama siyapendi naona ni ujinga tu
 
Wanabodi

Leo nimepata tena fursa ya kuwaletea PMNA.

Kwa vile hii PMNA ni kitu kipya, hizi siku za mwanzo nitakuwa kila siku nikifafanua PMNA ni nini.

PMNA ni kufuatia kuwepo kwa gaps kwenye news analysis kwenye media zetu, kuanzia magezeti, radio, TV na online media, hakuna uchambuzi wa habari on serious issues zinazolikabili taifa letu.

Kufuatia uzoefu wangu wa long experience ya zaidi ya miaka 30 newsroom, nina uwezo wa kufanya News analysis ya habari yoyote.

Kwenye News analysis yangu

Kwanza nitakuwekea News yenyewe
Kisha nitakuchambulia kilichosemwa au kuripotiwa kwenye News hiyo nikieleza ni what does it mean
Mwisho nitamalizia umuhimu wake kwa Taifa letu kwa maslahi ya taifa

PMNA ya leo ni kauli hii ya Makamu wa Rais, Balozi Dr Emmanuel Nchimbi, akikemea ujinga ujinga fulani ambao ni kweli upo sana tuu.

Kwanza tumsikilize Dr. Nchimbi kwenye video hii

View: https://youtu.be/6bTfOAJgt3w?si=Fr0vq9VdzfOcbQhV

Baada ya kuisikia tuje kwenye
nakala ya maneno (transcript) kutoka kwenye video hiyo. Video hiyo inamwonyesha Dr. Emmanuel Nchimbi (Makamu wa Rais) akizungumzia umoja wa kitaifa na umuhimu wa kuacha migogoro ya kisiasa.
  • Kila Mtanzania ana Wajibu: Dr. Nchimbi anasisitiza kuwa kila mtu ana nafasi na wajibu wa kuitumikia nchi, na hatupaswi kutegemeana bali kila mmoja atumie nguvu zake zote [00:00].
  • Kupinga Migogoro ya Vyama: Alieleza kutopendezwa kwake na migogoro ya vyama vya siasa, akiiita kuwa ni "ujinga" [00:11]. Anahoji kwanini watu wagombane ilhali nchi ni moja na ni ya wote [00:21].
  • Kukemea Lugha Chafu: Alikumbushia wakati akiwa Katibu Mkuu, alikuwa akimkemea mwana-CCM yeyote aliyekuwa akizungumza maneno ya ovyo dhidi ya vyama vya upinzani [00:29].
  • Vyama vya Siasa na Katiba: Alibainisha kuwa vyama vyote vimeundwa kwa mujibu wa katiba, na kujiunga na chama kingine ni njia tu ya kutaka kuitumikia nchi kwa mtazamo tofauti, lakini mwisho wa siku yote ni "utumishi" [00:35].
PMNA ya Video hii

Paskali

Pia soma > Nchimbi: Mimi hata mambo ya kugombana kivyama vyama siyapendi naona ni ujinga tu

ushauri na wito wa makamu wa Rais Dr. Emmanuel Nchimbi ni muhimu, wa maana sana na muafaka mno kutiliwa maanani na kila mwanasiasa na kila mwananchi.

ila najaribu kutafakari ile kiburi ya mtu kama heche au lisu kama inaweza kutibiwa na wito huo muhimu sana wa mh.Dr.Nchimbi,
But kwa neema na baraka za Mungu tunaweza kuachana na hiyo ujinga ikiwa tu takua na utashi wa kisiasa wa kweli.
 
Wanabodi

Leo nimepata tena fursa ya kuwaletea PMNA.

Kwa vile hii PMNA ni kitu kipya, hizi siku za mwanzo nitakuwa kila siku nikifafanua PMNA ni nini.

PMNA ni news analysis, uchambuzi wa habari, kufuatia kuwepo kwa gaps kwenye news analysis kwenye media zetu, kuanzia magezeti, radio, TV na online media, hakuna uchambuzi wa habari on serious issues zinazolikabili taifa letu.

Kufuatia uzoefu wangu wa long experience ya zaidi ya miaka 30 newsroom, nina uwezo wa kufanya News analysis ya habari yoyote.

Kwenye News analysis yangu

Kwanza nitakuwekea News yenyewe
Kisha nitakuchambulia kilichosemwa au kuripotiwa kwenye News hiyo nikieleza ni what does it mean
Mwisho nitamalizia umuhimu wake kwa Taifa letu kwa maslahi ya taifa

PMNA ya leo ni kauli hii ya Makamu wa Rais, Balozi Dr Emmanuel Nchimbi, akikemea ujinga ujinga fulani ambao ni kweli upo sana tuu.

Kwanza tumsikilize Dr. Nchimbi kwenye video hii

View: https://youtu.be/6bTfOAJgt3w?si=Fr0vq9VdzfOcbQhV

Baada ya kuisikia tuje kwenye
nakala ya maneno (transcript) kutoka kwenye video hiyo. Video hiyo inamwonyesha Dr. Emmanuel Nchimbi (Makamu wa Rais) akizungumzia umoja wa kitaifa na umuhimu wa kuacha migogoro ya kisiasa.
  • Kila Mtanzania ana Wajibu: Dr. Nchimbi anasisitiza kuwa kila mtu ana nafasi na wajibu wa kuitumikia nchi, na hatupaswi kutegemeana bali kila mmoja atumie nguvu zake zote [00:00].
  • Kupinga Migogoro ya Vyama: Alieleza kutopendezwa kwake na migogoro ya vyama vya siasa, akiiita kuwa ni "ujinga" [00:11]. Anahoji kwanini watu wagombane ilhali nchi ni moja na ni ya wote [00:21].
  • Kukemea Lugha Chafu: Alikumbushia wakati akiwa Katibu Mkuu, alikuwa akimkemea mwana-CCM yeyote aliyekuwa akizungumza maneno ya ovyo dhidi ya vyama vya upinzani [00:29].
  • Vyama vya Siasa na Katiba: Alibainisha kuwa vyama vyote vimeundwa kwa mujibu wa katiba, na kujiunga na chama kingine ni njia tu ya kutaka kuitumikia nchi kwa mtazamo tofauti, lakini mwisho wa siku yote ni "utumishi" [00:35].
PMNA ya Video hii
Hapa Makamu Rais Balozi Dr Nchimbi, anathibitisha jinsi anavyokerwa na vitu fulani fulani vya kijinga jinga vinavyofanywa na viongozi wenzake, moja ya vitu hivyo vya kijinga ni kwa viongozi wa vyama vya siasa kugombana gombana kwasababu ya tofauti za kisiasa na tofauti za vyama. Huko Kugombana gombana amekuita ujinga.

Hii maana yake viongozi wetu wanaogombana kwasababu ya vyama, viongozi hao ni wajinga na huko Kugombana gombana kwasababu ya vyama ni ujinga!.

Akakumbushia alipokuwa KM wa Chama Kubwa, Chama Cha Mapinduzi, alikuwa akiona viongozi wa CCM wanatoa kauli mbofu mbofu dhidi ya upinzani, alikemea.

Amemalizia kwa kusisitiza usawa wa vyama kwa mujibu wa Katiba, watu wote wa vyama vyote wako kihalali kikatiba na kisheria kwenye vyama tofauti na vyote viko kwa maslahi ya taifa letu moja la Tanzania.

My Take
Hili jambo niliwahi kulizungumza humu hadi kuliandikia makala kwa kumpongeza yule Rais Samia wa enzi zile Asante sana Rais Samia kwa kuliponya Taifa. Umeonesha kwa kauli na matendo; tunajenga nyumba moja, hakuna sababu ya kugombea fito!
View attachment 3550543

Hivyo natoa wito kwa wana JF na Watanzania kwa ujumla, tuunge mkono kauli hii ya Makamu wa Rais Dr Emmanuel Nchimbi kwa kuukataa kabisa huu ujinga wa kugombana kwa ajili ya vyama.

Mungu Ibariki Tanzania

Paskali

Pia soma > Nchimbi: Mimi hata mambo ya kugombana kivyama vyama siyapendi naona ni ujinga tu

Kama ni kweli angeanza kwa kujihuzulu, sababu hasa ya hali hii anaijua ni chama chama kugoma kukubali ukweli kuwa hakikubaliki kama ilivyokuwa huko nyuma. Anataka kuleta kauli kama zile za kitapeli za Samia alipoingia madarakani baada ya kifo cha Magufuli. Ww ndio unaweza kutekwa na lugha hizo za kitapeli za wanaccm.

Ni hivi, hatudanganyiki, tunaangalia vitendo na sio porojo za mdomoni.
 
ushauri na wito wa makamu wa Rais Dr. Emmanuel Nchimbi ni muhimu, wa maana sana na muafaka mno kutiliwa maanani na kila mwanasiasa na kila mwananchi.

ila najaribu kutafakari ile kiburi ya mtu kama heche au lisu kama inaweza kutibiwa na wito huo muhimu sana wa mh.Dr.Nchimbi,
But kwa neema na baraka za Mungu tunaweza kuachana na hiyo ujinga ikiwa tu takua na utashi wa kisiasa wa kweli.

Ukitaja wapinzani kama mfano usisahau na chumbani kwenu, kwani wasira kauli zake zina mashiko? Kibajaji, musukuma, napi, na takataka zingine nyingi tu km ile ya uvisisiemu kagera
 
relax gentleman,
kua huru,
nikitaja mambo kulingana na maoni yangu,
nawe tumia uhuru wako kutaja unaodhani wanahusika kulingana na hoja ya mtoa hoja,
 
Before even debating the Vice President’s statement, I would expect a journalist with 30 years of newsroom experience to apply real scrutiny.

News analysis is not about repeating a political message, it is about testing it against facts. Where is the examination of the government’s actual conduct? Without that, this reads like endorsement, not analysis.

Unity cannot be preached while the main opposition party is restricted, opposition leaders are jailed on questionable charges, critics are abducted, and elections are widely disputed. If words are not matched by actions, they lose credibility.
 
Wanabodi

Leo nimepata tena fursa ya kuwaletea PMNA.

Kwa vile hii PMNA ni kitu kipya, hizi siku za mwanzo nitakuwa kila siku nikifafanua PMNA ni nini.

PMNA ni news analysis, uchambuzi wa habari, kufuatia kuwepo kwa gaps kwenye news analysis kwenye media zetu, kuanzia magezeti, radio, TV na online media, hakuna uchambuzi wa habari on serious issues zinazolikabili taifa letu.

Kufuatia uzoefu wangu wa long experience ya zaidi ya miaka 30 newsroom, nina uwezo wa kufanya News analysis ya habari yoyote.

Kwenye News analysis yangu

Kwanza nitakuwekea News yenyewe
Kisha nitakuchambulia kilichosemwa au kuripotiwa kwenye News hiyo nikieleza ni what does it mean
Mwisho nitamalizia umuhimu wake kwa Taifa letu kwa maslahi ya taifa

PMNA ya leo ni kauli hii ya Makamu wa Rais, Balozi Dr Emmanuel Nchimbi, akikemea ujinga ujinga fulani ambao ni kweli upo sana tuu.

Kwanza tumsikilize Dr. Nchimbi kwenye video hii

View: https://youtu.be/6bTfOAJgt3w?si=Fr0vq9VdzfOcbQhV

Baada ya kuisikia tuje kwenye
nakala ya maneno (transcript) kutoka kwenye video hiyo. Video hiyo inamwonyesha Dr. Emmanuel Nchimbi (Makamu wa Rais) akizungumzia umoja wa kitaifa na umuhimu wa kuacha migogoro ya kisiasa.
  • Kila Mtanzania ana Wajibu: Dr. Nchimbi anasisitiza kuwa kila mtu ana nafasi na wajibu wa kuitumikia nchi, na hatupaswi kutegemeana bali kila mmoja atumie nguvu zake zote [00:00].
  • Kupinga Migogoro ya Vyama: Alieleza kutopendezwa kwake na migogoro ya vyama vya siasa, akiiita kuwa ni "ujinga" [00:11]. Anahoji kwanini watu wagombane ilhali nchi ni moja na ni ya wote [00:21].
  • Kukemea Lugha Chafu: Alikumbushia wakati akiwa Katibu Mkuu, alikuwa akimkemea mwana-CCM yeyote aliyekuwa akizungumza maneno ya ovyo dhidi ya vyama vya upinzani [00:29].
  • Vyama vya Siasa na Katiba: Alibainisha kuwa vyama vyote vimeundwa kwa mujibu wa katiba, na kujiunga na chama kingine ni njia tu ya kutaka kuitumikia nchi kwa mtazamo tofauti, lakini mwisho wa siku yote ni "utumishi" [00:35].
PMNA ya Video hii
Hapa Makamu Rais Balozi Dr Nchimbi, anathibitisha jinsi anavyokerwa na vitu fulani fulani vya kijinga jinga vinavyofanywa na viongozi wenzake, moja ya vitu hivyo vya kijinga ni kwa viongozi wa vyama vya siasa kugombana gombana kwasababu ya tofauti za kisiasa na tofauti za vyama. Huko Kugombana gombana amekuita ujinga.

Hii maana yake viongozi wetu wanaogombana kwasababu ya vyama, viongozi hao ni wajinga na huko Kugombana gombana kwasababu ya vyama ni ujinga!.

Akakumbushia alipokuwa KM wa Chama Kubwa, Chama Cha Mapinduzi, alikuwa akiona viongozi wa CCM wanatoa kauli mbofu mbofu dhidi ya upinzani, alikemea.

Amemalizia kwa kusisitiza usawa wa vyama kwa mujibu wa Katiba, watu wote wa vyama vyote wako kihalali kikatiba na kisheria kwenye vyama tofauti na vyote viko kwa maslahi ya taifa letu moja la Tanzania.

My Take
Hili jambo niliwahi kulizungumza humu hadi kuliandikia makala kwa kumpongeza yule Rais Samia wa enzi zile Asante sana Rais Samia kwa kuliponya Taifa. Umeonesha kwa kauli na matendo; tunajenga nyumba moja, hakuna sababu ya kugombea fito!
View attachment 3550543

Hivyo natoa wito kwa wana JF na Watanzania kwa ujumla, tuunge mkono kauli hii ya Makamu wa Rais Dr Emmanuel Nchimbi kwa kuukataa kabisa huu ujinga wa kugombana kwa ajili ya vyama.

Mungu Ibariki Tanzania

Paskali

Pia soma > Nchimbi: Mimi hata mambo ya kugombana kivyama vyama siyapendi naona ni ujinga tu

Mpaka kufikia ujasiri wa kuongea vile ni wazi kilichokuwa kikisemwa kuwa ni mvutano/vita ya ndani kwa ndani sasa imefikia hatua nyingine. Taratibu ufa utaanza kuwa dhahiri.

Na amejitofautisha na boss wake kwa kusema mtazamo wake sio serikali ya fulani.

Hiyo ni dalili ya kutafuta kuungwa mkono ili aongeze nguvu katika vita vyake au apokelewe vyema na umma akichomolewa kwenye nafasi aliyonayo.
 
Hakuna mtu anapendezwa kuona uonevu na ubaguzi wanaofanyiwa watanzania wa vyama nje ya sisiemu, hata masisiemu wenyewe wengi tu wanakwazika sana ila hawana pa kusemea wakabaki salama.

Hii ni wake up call toka kwa huyu mkubwa kwamba inafika wakati ukweli utasemwa tu uvumilivu unaelekea mwisho. Hii sio roho ya watanzania hatukuwa hivi kabisa...
 
Mpaka kufikia ujasiri wa kuongea vile ni wazi kilichokuwa kikisemwa kuwa ni mvutano/vita ya ndani kwa ndani sasa imefikia hatua nyingine. Taratibu ufa utaanza kuwa dhahiri.

Na amejitofautisha na boss wake kwa kusema mtazamo wake sio serikali ya fulani.

Hiyo ni dalili ya kutafuta kuungwa mkono ili aongeze nguvu katika vita vyake au apokelewe vyema na umma akichomolewa kwenye nafasi aliyonayo.
Kwa muundo wa CCM na katiba yetu, hawezi kumuondoa VP!, na kwasababu VP ni mkweli daima, then kama ni kuondoka, ni kuondoka the boss!
P
 
Wanabodi

Leo nimepata tena fursa ya kuwaletea PMNA.

Kwa vile hii PMNA ni kitu kipya, hizi siku za mwanzo nitakuwa kila siku nikifafanua PMNA ni nini.

PMNA ni news analysis, uchambuzi wa habari, kufuatia kuwepo kwa gaps kwenye news analysis kwenye media zetu, kuanzia magezeti, radio, TV na online media, hakuna uchambuzi wa habari on serious issues zinazolikabili taifa letu.

Kufuatia uzoefu wangu wa long experience ya zaidi ya miaka 30 newsroom, nina uwezo wa kufanya News analysis ya habari yoyote.

Kwenye News analysis yangu

Kwanza nitakuwekea News yenyewe
Kisha nitakuchambulia kilichosemwa au kuripotiwa kwenye News hiyo nikieleza ni what does it mean
Mwisho nitamalizia umuhimu wake kwa Taifa letu kwa maslahi ya taifa

PMNA ya leo ni kauli hii ya Makamu wa Rais, Balozi Dr Emmanuel Nchimbi, akikemea ujinga ujinga fulani ambao ni kweli upo sana tuu.

Kwanza tumsikilize Dr. Nchimbi kwenye video hii

View: https://youtu.be/6bTfOAJgt3w?si=Fr0vq9VdzfOcbQhV

Baada ya kuisikia tuje kwenye
nakala ya maneno (transcript) kutoka kwenye video hiyo. Video hiyo inamwonyesha Dr. Emmanuel Nchimbi (Makamu wa Rais) akizungumzia umoja wa kitaifa na umuhimu wa kuacha migogoro ya kisiasa.
  • Kila Mtanzania ana Wajibu: Dr. Nchimbi anasisitiza kuwa kila mtu ana nafasi na wajibu wa kuitumikia nchi, na hatupaswi kutegemeana bali kila mmoja atumie nguvu zake zote [00:00].
  • Kupinga Migogoro ya Vyama: Alieleza kutopendezwa kwake na migogoro ya vyama vya siasa, akiiita kuwa ni "ujinga" [00:11]. Anahoji kwanini watu wagombane ilhali nchi ni moja na ni ya wote [00:21].
  • Kukemea Lugha Chafu: Alikumbushia wakati akiwa Katibu Mkuu, alikuwa akimkemea mwana-CCM yeyote aliyekuwa akizungumza maneno ya ovyo dhidi ya vyama vya upinzani [00:29].
  • Vyama vya Siasa na Katiba: Alibainisha kuwa vyama vyote vimeundwa kwa mujibu wa katiba, na kujiunga na chama kingine ni njia tu ya kutaka kuitumikia nchi kwa mtazamo tofauti, lakini mwisho wa siku yote ni "utumishi" [00:35].
PMNA ya Video hii
Hapa Makamu Rais Balozi Dr Nchimbi, anathibitisha jinsi anavyokerwa na vitu fulani fulani vya kijinga jinga vinavyofanywa na viongozi wenzake, moja ya vitu hivyo vya kijinga ni kwa viongozi wa vyama vya siasa kugombana gombana kwasababu ya tofauti za kisiasa na tofauti za vyama. Huko Kugombana gombana amekuita ujinga.

Hii maana yake viongozi wetu wanaogombana kwasababu ya vyama, viongozi hao ni wajinga na huko Kugombana gombana kwasababu ya vyama ni ujinga!.

Akakumbushia alipokuwa KM wa Chama Kubwa, Chama Cha Mapinduzi, alikuwa akiona viongozi wa CCM wanatoa kauli mbofu mbofu dhidi ya upinzani, alikemea.

Amemalizia kwa kusisitiza usawa wa vyama kwa mujibu wa Katiba, watu wote wa vyama vyote wako kihalali kikatiba na kisheria kwenye vyama tofauti na vyote viko kwa maslahi ya taifa letu moja la Tanzania.

My Take
Hili jambo niliwahi kulizungumza humu hadi kuliandikia makala kwa kumpongeza yule Rais Samia wa enzi zile Asante sana Rais Samia kwa kuliponya Taifa. Umeonesha kwa kauli na matendo; tunajenga nyumba moja, hakuna sababu ya kugombea fito!
View attachment 3550543

Hivyo natoa wito kwa wana JF na Watanzania kwa ujumla, tuunge mkono kauli hii ya Makamu wa Rais Dr Emmanuel Nchimbi kwa kuukataa kabisa huu ujinga wa kugombana kwa ajili ya vyama.

Mungu Ibariki Tanzania

Paskali

Pia soma > Nchimbi: Mimi hata mambo ya kugombana kivyama vyama siyapendi naona ni ujinga tu

Mkuu umemwamini na maneno yake hayo?

Unakumbuka akiwa Katibu Mkuu namna alivyoyacrash maombi ya Cdm kuhusu reforms pamoja na Katiba mpya akidai hawezi kuridhiana wala kuwasikiliza hadi uchaguzi upite?

Impact ya kauli zake hizo ndiyo zilizozaa bloodshed ya MO29, au nawe tayari umekwisha sahau!

Ni lini ulimsikia akijutia hilo na kuwaomba radhi waTz?

Hizo blah blah za kutafuta popularity kanisani, wewe umezipima na kuziamini katika angle ipi?

Huyo ni wa kupuuzwa na si wa kumpa 'highlight' kama unavyotaka kuwaaminisha raia.
 
Mpaka kufikia ujasiri wa kuongea vile ni wazi kilichokuwa kikisemwa kuwa ni mvutano/vita ya ndani kwa ndani sasa imefikia hatua nyingine. Taratibu ufa utaanza kuwa dhahiri.

Na amejitofautisha na boss wake kwa kusema mtazamo wake sio serikali ya fulani.

Hiyo ni dalili ya kutafuta kuungwa mkono ili aongeze nguvu katika vita vyake au apokelewe vyema na umma akichomolewa kwenye nafasi aliyonayo.
👏👏👏
 
Mimi kuanzia Samuya , Nchimbi siwatambui kama viongozi wa ngazi yoyote katika Tanganyika.

Hivyo hata anachokiaongea sikitilii mkazo maana ni unafiki mtupu.

Siku tukipata haki kwa watoto na wakina mama wajawazito waliopigwa risasi mtaani ndio tutarudi kufanya uchaguzi tupate viongozi sio hizi takataka.

Ni jambo la kusikitisha watoto wasio na silaha wala kitu chochote cha kujihami wanapigwa risasi na mijitu iliyo na silaha za kivita kabisa na bullet proof.

Hii sitowahi kuisamehe.
 
Mimi kuanzia Samuya , Nchimbi siwatambui kama viongozi wa ngazi yoyote katika Tanganyika.

Hivyo hata anachokiaongea sikitilii mkazo maana ni unafiki mtupu.

Siku tukipata haki kwa watoto na wakina mama wajawazito waliopigwa risasi mtaani ndio tutarudi kufanya uchaguzi tupate viongozi sio hizi takataka.

Ni jambo la kusikitishawatoto wasio na silaha wala kitu chochote cha kujihami wanapigwa risasi na mijitu iliyo na silaha za kivita kabisa na bullet proof.

Hii sitowahi kuisamehe.
View attachment 3550601
💯%.
 
ushauri na wito wa makamu wa Rais Dr. Emmanuel Nchimbi ni muhimu, wa maana sana na muafaka mno kutiliwa maanani na kila mwanasiasa na kila mwananchi.
True
ila najaribu kutafakari ile kiburi ya mtu kama Heche au Lissu kama inaweza kutibiwa na wito huo muhimu sana wa mh.Dr.Nchimbi,
Wanasiasa kibri na jeuri wako wengi, sio hao tuu, hata CCM wapo, kibri hicho na jeuri hiyo itaondoshwa kipindi Dr Nchimbi ameshika usukani!, atawanyorosha !
But kwa neema na baraka za Mungu tunaweza kuachana na huo ujinga ikiwa tu takua na utashi wa kisiasa wa kweli.
Kwa kauli ya neema na baraka za Mungu, na ujinga huu utamalizwa kwa uwepo wa utashi wa kisiasa, wewe ni baraka, ubarikiwe sana.
P
 
Back
Top Bottom