Pmc oven with two hot plates for sale

Mbona mpya zinauzwa 185K KKOO?
 
Mbona mpya zinauzwa 185K KKOO?
inatgmea kama ni kampuni gani na oven ni litres ngapi.. ndio vitu vinavyotofautisha bei.

PMC wao ni oven za viwango zaidi.
 
inatgmea kama ni kampuni gani na oven ni litres ngapi.. ndio vitu vinavyotofautisha bei.

PMC wao ni oven za viwango zaidi.
Ni kampuni hiyo hiyo uloitaja na ukubwa huo huo.
Pita instagram utajionea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…