[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
Nakuja Pm. Nimeshakupenda.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana mi ni mzima kabisa na ndio maana PM yangu ina utitiri wa text kutoka kwa mademu wa JFBAK amesema eti unaumwa[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ipi ndiyo inakuwa chips mayai na kuku robo? Na fanta orange?
Ni dume au jike? [emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
Sent using Jamii Forums mobile app
Alafu ukila bila maji pembeni wakati wa kumeza utakuta unashuka taratibu kama unasindikiza harusiHiyo bila shaka ni chips jike, chips dume ni muhogo wa kuchoma umepasuliwa Kati na kuwekwa pilipili ya unga iliyochanganywa na chumvi unashushia na maji barrrrrridiiiiii [emoji23]
Usibadilishe plzzzzzzNaona inabidi nikubalishie password uwe unaingia kama guest user!
Alafu ukila bila maji pembeni wakati wa kumeza utakuta unashuka taratibu kama unasindikiza harusi
CC Zero IQ
Mimi nataka chips jike. Dume hapana kwa kweli.Hiyo bila shaka ni chips jike, chips dume ni muhogo wa kuchoma umepasuliwa Kati na kuwekwa pilipili ya unga iliyochanganywa na chumvi unashushia na maji barrrrrridiiiiii [emoji23]
Utie neno pumzi utapata wapi mkuu
CC Zero IQ
Nimeacha, ila upunguze kunipa pressure.
Ngoja nikanunue vifaa vya kukaanga chipsi kabisa dogo.
Mimi nataka chips jike. Dume hapana kwa kweli.
Halafu mbona kama naanza kukuelewa BAK au kwa sababu una idea ya kuanza kuuza chips[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13].
Na wewe unataka kuanza kukanga chipsi dogo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijajua mkuu labda kwa sababu mi ni mkaanga kiepe
CC Zero IQ
[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13].[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]nichagulie basi jina la kiosk changu nawe uwe mteja wangu wa kwanza ili uniletee baraka.
[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]Inabidi niwe mbunifu kulinda penzi dogo.
Maana hapa nafata kila unachopenda.
Lakini hawawezi kufanya kama mimi mkuu[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
Zero IQ biashara yako imepata competitors.
Kwisha habari yako.
Sent using Jamii Forums mobile app
We ulitaka ijae texts za ma chali au?Pm yangu hapa JF imejaa text za mademu tu,kila demu anakuja na lake,
Jamani Tafadharini sana mi ni muuza kiepe tu msije mkanifirisi.
CC Zero IQ