Umemrekebishia inatoshaArekebishe kauli,aseme watawashughulikia wapinzani!
Sent using Jamii Forums mobile app
Umemrekebishia inatoshaArekebishe kauli,aseme watawashughulikia wapinzani!
Hana kosa alionewa na wewe ionee ccm km unaweza.Mh. Majaliwa, mkitenda haki na serikali yako, hakuna atakaye vunja amani au kutoa matamshi msiyoyapenda. Jiulize, Mashinji wana kosa gani?
Ha ha ha bwege kweli wewe. Wa kuniambia watch it wewe,? Huna adabu
Viongoz wa dini walishawekwa kwenye mifuko ya wanasiasa japo si woteHivi kiongozi wa dini angeendesha ibada ya mazishi bila kuingiza mambo ya siasa angepungukiwa na nini?
Mbona hayo madogo sana kama serikali haitajitambua ya kuwa ina watu wenye mawazo tofauti na wengine basi safari ndo hivyo ishaanza inawezekana wakazarau lakini huu ndo mwanzo watakuja kuelewa maji yashamwagika na hakutakuwa na maneno haya tena lkn wakae wakijua kuzaliwa ni siku moja lkn pia kuondoka ni siku hiyohiyo moja maamuzi yako hivikama kunafaida ya kuishi muda mrefu kwa kukandamizwa na kunyanyaswa ndani ya nchi yetu au kuishi maisha mafupi yenye historia,kama tutakubari kuburuzwa basi tujiandae pia kufa kipumbavu, haya maneno ya kujaribu kunyamazisha haki ya kunena,kukosoa wamekuwa jiwe hata wakae kimya ?pesa za nchi zinautaratibu Leo zinapitishwa na familia ya mtu mmoja na wengine wanaojua nini sheria inasema wanafumba macho na kutetea upuuzi no that is big NO.Sasa Misiba inageuzwa kuwa viwanja vya kisiasa!!
Nashangaa wote wamefikiria kinyume kabisa wakati PM amemlenga yule sheheWaanze na yule shehe anayeongea kwenye clip akitoa maneno ya kichochezi wakati anaongelea mashehe wa uamsho
Sent using Jamii Forums mobile app