PM Majaliwa: Tutawashughulikia wanaotoa matamshi ya kichochezi

Nani kishachochewa tangu hizi kauli za uchochezi zianze kupigwa marufuku???.. Serikali ndio inafanya uchochezi kwa kuminya demokrasia wazi wazi, ukosefu wa ajira tangu awamu hii imeingia n.k..... hawaoni kama hili ndio bomu kubwa sana na likilipuka ndio hatari zaidi kuliko kauli za wanasiasa.

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Viongozi wa dini ni wanafiki sana.. waoga, wamejaa uzandiki, hawana faida yoyote mbele za Mungu.
Kama wanaongea kihaki kabisa, mbona hawazungumzii watu kukamatwa wakiwa wanafanya mikutano ya ndani??? Mbona hawazungumzi yale mabaya yote wanaofanyiwa wapinzani wa chama tawala, hasa hasa chadema??? Mbona haya wanayakalia kimya au sio haki kwa wao ni haki kwa mtukufu Rais tu na chama cheke???? Waache unafiki.. si wachungaji si mashehe wamekuwa watetezi wa chama tawala...

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Muheshimiwa PM shida nini ya kuacha demokrasia iliyokua ina shamiri toka kwa Jakaya.. mtahangaika na uchochezi wakati ninyi ndio chanzo, tanzania nyingine hatuwezi kukubali kupelekwa kiimla kama mbweha.. shame shame

Sent using Jamii Forums mobile app
Demokrasia ya kutukana hata jk alikuwa analalamika kila siku na wapinzani walikamatwa walipigwa mabomu waliumizwa walifungwa n.k

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom