Nimemsikia JPM akilalamika ukumbi ulikuwa na joto na akasema bora wangewaambia wakaacha makoti. Najiuliza ni kwa muda gani hivyo viyoyozi vimeharibika? mikutano mingapi imepita pale na wajumbe wakatoka wamekata tamaa kwa hewa mbovu kutokana na ubovu wa viyoyozi. Naimani waziri mkuu siku akitembelea Arusha lazima amtumbue huyu Mkurugenzi.
Huyo ni Magufuli analalamika je wazungu kutoka ulaya waliohudhuria mikutano pale? naimani wapo waliokaa mkutanoni dakika tano na kutokomea serengeti au kupanda ndege na kuishia.
Ndio maana JK alikuwa anaishia Ngurudoto kumbe viyoyozi vibovu.
===============

Mkutano ulikuwa ni Ngurudoto na huko ndiko viyoyozi ni vibovu mkuu na sio AICC, hivyo jipu ni Ngurudoto na Secretariet ya EAC kuwapeleka mahali pabovu na panapochukua idadi ndogo ya watu nk hapo kuna mtu kwenye hiyo timu kupiga cha juu!!!
Queen Esther