PM from charminglady to bishanga

sii six hivi charminglady alikuwa na maana gani kunirushia hii PM,nikufowadie?

kuna jamaa alikuwa anaitwa wakati ndio sasa ndugu yake Ruhazwe JR alikuja hivi hivi kama wewe baadae ikagundulika masharti ya mganga eti akionja mke wa mtu mambo yatakuwa bomba, sasa sijui kapotea wapi mara umeibuka wewe, sijui ni ugonjwa huu ama?
 
Last edited by a moderator:
Thubutu


unataka hiyo mimba tukuhamishie?...sema kijana maana hiyo shughuli ni rahisi tu...tena ngoja nimpigie simu Mzee Mwakizaro wa kule Duga afanye hii shughuli sasa hivi...
 
Kumbe ndo ulivo? ukiambiwa uanatangaza?
acha niendelee kuficha msg angu moyoni tu!!!!
 
We bibi oohoh samahani eti bib ni Babu jiheshimu mbona unazeeka ovyo sanaaa eeh
 
Last edited by a moderator:
na password?

JF auto-log in...password imekua saved na browser...hebu kwanza mwambie dogo aende kwa my daughter kuomba msamaha la sivyo nitamwendea Pangani kwa fundi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…