PM: Best way to conserve Loliondo not yet decided

Maramla

JF-Expert Member
Jan 8, 2014
581
642
IMG_6135.jpg

IMG_6136.jpg

PM: BEST WAY TO CONSERVE LOLIONDO NOT YET DECIDED

Guardian baada ya kubumba stori ya PM atlast wametambua mwandishi wao ni wa mchongo na wamerekebisha, ukweli umesimama dhidi ya PAYROL
 
Sidhani kama mwandishi ni wa kubumba although ningeona wametoa hadhari au komradhi kwa late story hapo sawa.

Kumbuka hilo ni gazeti la mfanyabiashara siyo mali ya serikali so wanabase na story kulingana na tukio.
 
Back
Top Bottom