Plz plz

mzurimie

JF-Expert Member
Oct 16, 2011
6,143
3,624
hi wana JF, Please vote for... kesho wanatangaza washindi

mpo nimeangalia design za swahili fashion na mtu anayejituma kujifunza zaidi na kuweka muda na kutumia mengi ili ajue nini zaidi anatakiwa katika fashion na amejitahidi mwaka huu

amejitahidi sana, sio ndugu yangu wala sifahamiani nae bali ndio amenivutia haswa.

Upcoming designer of the year - Eve collections

tuma sms kwenda namba 15678 uandike UCD Eve collections.
maneno hayo tu matatu. (waweza tuma mara nyingi ukitaka)

au kuvotia online nenda Vote Online! | Swahili Fashion Week

I hope mko wengine kama mie unaetokea kuwa fan.
 
Yaani watu tunaongea mambo serious wewe unatuletea huu ukwere! Acha upumbavu!
 
Non sense!

Nonsense wewe una nini umecomment humu kwenye vipost vya visivyo nonsense.

Utajiju hii ni forum ya uhuru kwa kila member kama upendi funga mdomo wako.

Shida zinasumbu duniani kutolea hasira zako humu
 
kwa vile kakuvutia wewe unataka na sisi atuvutie

kama utaki si unamaze kwani nimekulazimisha? nimetumia uhuru wangu kusema nilichoandika hapo juu. Sasa kwani mie niko kwenye kampeni yake nianze kuongea kama mtu wa kampeni?
 
tutampigia dear.....nampigia online na kwenye simu pia......
 
Nonsense wewe una nini umecomment humu kwenye vipost vya visivyo nonsense.

Utajiju hii ni forum ya uhuru kwa kila member kama upendi funga mdomo wako.

Shida zinasumbu duniani kutolea hasira zako humu
kweli humu jf kuna vituko..
wacha tujionee
 
ATT98278.jpg
 
Back
Top Bottom