Plz naomba ushauri nifanyeje

LUNA

Member
Aug 1, 2012
25
0
Mm ni msichana miaka 26 nina mpenzi ana miaka 28 tunauhusiano kama miezi minne tulizoea kuchat sana kwa njia ya message so kuna siku nikakosea kutuma text. hiyo message nilitaka kumtumia rafiki yangu kuwa namtakia maisha mema nikakosea nikamtumia mpenzi wangu tangu siku hiyo nikimpigia simu hapokei leo siku ya tano. kwa sababu hapokei simu nimemuomba msamaha kwa kutumia maneno mbalimbali kama message 100 haonyeshi dalili za kunisamehe. naomba ushauri nifanyeje
 
Un uhakika kuwa hapokei kwa sababu ya hiyo sms au unahisi tu?
 
Mm ni msichana miaka 26 nina mpenzi ana miaka 28 tunauhusiano kama miezi minne tulizoea kuchat sana kwa njia ya message so kuna siku nikakosea kutuma text. hiyo message nilitaka kumtumia rafiki yangu kuwa namtakia maisha mema nikakosea nikamtumia mpenzi wangu tangu siku hiyo nikimpigia simu hapokei leo siku ya tano. kwa sababu hapokei simu nimemuomba msamaha kwa kutumia maneno mbalimbali kama message 100 haonyeshi dalili za kunisamehe. naomba ushauri nifanyeje

Sasa kumtakia mtu maisha mema kuna tatizo gani? Au ujumbe uliomtumia ulikuwa romantic sana? Inawezekana katika maongezi yenu ulimhakikishia kuwa yupo pekee yake na ghafla akashangaa kupokea meseji ya kimahaba ambayo haikukusudiwa kwake. Na kama ni hivyo, inawezekana amekuona siyo muaminifu ndiyo maana kaamua kukupotezea. Anyway, jaribu kumtafuta ana kwa ana muongee naye usikie kauli yake ya mwisho.

Kwa upande mwingine, Isije kuwa pia alikuwa ameshakuchoka na hivyo alikuwa anakutafutia sababu ya kukumwaga. Next time uwe makini unapochat na mtu zaidi ya mmoja kuepuka adha kama hizi ...
 
Mi naona ingekuwa ni vyema ukatafuta muda mzuri, umfate ili ukaongee naye face 2 face..ila inakupasa uwe na ushahidi wa kutosha ili aelewe kuwa ulikosea tu, nahisi itakuwa rahisi kukuelewa..vinginevyo atakuwa na mengine huyo, labda ndiyo atakueleza vizuri.
 
me nipo dar yeye yuko dodoma
 
Jaribu kumfata kwenye makazi yake umueleze, natumaini atakuelewa!
 
pole sana! dawa ya anaechuna ni kuchuna pia, unaandika sms 100! huna kazi ya kufanya? just two sms clear na simple unakaa kimya kusubiri majibu.
 
pole sana, but inaonekana hajakupenda, kwani kama ukimpenda mtu huwezi kumtesa, kimsingi hamna maumivu makali kama kumpigia simu mtu umpendaye asipokee simu wala kujibu sms, nahisi mmetofautiana ktk level ya elimu, uchumi na interest na ikiwa amekuzidi BHAAAAAAAAAAAAAS!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Nitumie mimi Mama 0714***~~~
Wakati wengine tunatafuta watu wa kututumia msge na kutupigia simu kwa sauti nyororo wengine wanazipotezea kiasi cha kumsononesha mtumaji/mpigaji, kweli wenye bahati hawabahatiki!
 
wew sema ukweli tu, wew ulikuwa nao wote wawili sas umeona umbwage mmoja wao ubaki na huyo unaembembeleza saiv.
ukakosea kutuma msg, na lazima ilikuwa romantic ukimtakia maisha mema mpenz wako wa zamani. coz kama ingekuwa msg ya kumtakia maisha mema rafik wa kawaida (lets say msichana mwenzio) jamaa asingemind hata kidogo. unalo dadaang, ku-undo hiyo msg!!!!!.....,
 
Ilikuwaje ukamuandikia sms huyo mlengwa ya kumtakia maisha mema?Haiingii akilini kumuandikia bint mwnzio sms ya kumtakia masiha mema lazima kilikuwa ni kidume tu! Anyway piga moyo konde na endelea kujishusha tu kwa huyo mpenzio ikiwezekana watumie rafiki zake wa karibu kutatua hili suala.
 
Andika email yako kwa ushauri zaid
 
Back
Top Bottom