WanaJf, salaam!
Hivi nyumba iliyofanyiwa plumbing ya kisasa kabisa inatakiwa iwe na vitu gani? Kuanzia jikoni hadi master bedroom. Kwa nyumba ya kawaida ya vyumba vitatu vya kulala, dinning, sitting, jiko na Choo/bafu la jumuiya.
Inaweza kunigharimu kiasi cha bei gani kufanya plumbing ikiwa ni bei ya vifaa na ufundi?