Ndugu wananchi kuna plots/viwanja za bei rahisi kabisa Msongola- Ilala zina ukubwa zifuatavyo:
40ft kwa 50ft = 2milion
80ft kwa 100ft = 3.8 milion:cheer2:
contact: 0717288306(Ogiro)
*Umeme upo karibu sana na eneo la viwanja*
*Unaweza kudouble kadri ya uwezo wako*
"Plots zote ziko sehemu tambarare na mchanga ni hapo hapo,maji yapo karibu"
"Usimalize mwaka 2014 bila kumiliki plot!unaweza!"

Naomba mawasiliano plz number za simu naitaji kiwanjaHahahaha hii kali.
Viwanja vinauzwa Kigamboni kichangani njia ya dar zoo kwa mbele. Tsh 7000/sqm vimepimwa na offer na hati watafuatilia wao kwa makubaliano yenu.
Hivi jaman sqm 71 siwezi nikajenga nyumba nzuri kabisa?
Ndio huwezi kujenga nyumba nzuri kabisa katika eneo la square meters 71 , hilo ni eneo lenye kipimo kama mita 9 kwa mita 8, unaweza kujenga fremu nzuri kabisa ya biashara...
Kwani Sqm zinahesabiwaje mkuu?
Chukulia mfano kiwanja kiko katika umbo la msitatiri (rectangle) basi ukipima upande wa kaskazini ukapata mita 15, halafu ukapima tena upande wa mashariki au magharibi ukapata mita 20, kwahiyo square meter za eneo lako utachukua mita 15 kuzidisha kwa mita 20, hapo utapata sqm 300
Ndugu wananchi kuna plots/viwanja za bei rahisi kabisa Msongola- Ilala zina ukubwa zifuatavyo:
40ft kwa 50ft = 2milion
80ft kwa 100ft = 3.8 milion:cheer2:
contact: 0717288306(Ogiro)
*Umeme upo karibu sana na eneo la viwanja*
*Unaweza kudouble kadri ya uwezo wako*
*Commision ya elfu 50,000/= ipo kwa yeyote atakaye leta mteja na kadri mteja anavyodouble ndivyo commission yako itakavyo double*
"Plots zote ziko sehemu tambarare na mchanga ni hapo hapo,maji yapo karibu"
"Usimalize mwaka 2014 bila kumiliki plot!unaweza!"
contact: 0717288306(Ogiro)
Nyie watu bana sasa unapouza kiwanja cha 40*50 ft ambazo ni 12*15M unakua unataka nini kama sio kutengeneza skwata zisizo na tija?
Lets calculate 2m kwa (40*50FT) 180SQM= 11,111/=per SQM
3.8m kwa (80*100FT) 720SQM=5,277/= per SQM
hebu tupe bei ya 160*200FT huenda nikakupigia