....siku moja nilijiuliza." Hivi hizi nyumba zote ninazo ziona hapa DAR mbona mimi sina la kwangu?."jibu nililojijibu imekuwa msingi wa mimi kumilika nyumba 2 mpaka sasa hapa DAR.
Jibu ilikuwa NITAFUTE PLOT/KIWANJA KWANZA....nilipopata plots tu...ghafla nikapata hari ya kujenga kidogo kidogo!.
Ndiyo unaweza.... njoo kwangu nikuuzie plots/kiwanja ujenge DAR.
Ukubwa; 18m x 16m = 2mil tu.
Mahali; Msongola
Hali ya eneo; Tambarare yenye udongo wa kichanga.

Sasa Ndugu yangu usipouza si utasema labda Kuna mkono wa mtu, au wananchi hawajui vitu vizuri?
Wajua wewe ambae viwanja vyako ndio viko huko unaijua vizuri Msongola, sababu ndio kwako, hivi Mimi nilieko Tabora labda nikifungua huu Uzi nikakuta Kuna viwanja vinauzwa Msongola nitapajua ni wapi huko???