Plot ya biashara inauzwa Ununio (4000sqm)

Plot ya biashara inauzwa Ununio (4000sqm)

Pohjois Haaga

Member
Joined
Jun 29, 2015
Posts
47
Reaction score
16
Wana JF na umma kwa ujumla kiwanja cha biashara chenye ukubwa wa mita za mraba 4000 kinauzwa maeneo ya Ununio nusu kilomita kutoka ufukweni na kama nusu kilomita kutoka barabara ya Bagamoyo.

Kimepimwa na hati. Kinafaa kwa kujenga nyumba za kupangisha, hotel, hospital, nk. Kina eneo lingine halijapimwa.

Upande mmoja linafaa kuweka flemu za huduma zozote. Maji, umeme, barabara, vipo. Bei maelewano.

Muhitaji wa kweli tunapatikana hapa 0787 562273.

Dalali ruksa.
 
Weka bei weka beiiiiiiiiii.
Mchepuko wangu unanisumbua unataka niujengee hotel ya kisasa.
 
Hapo utasikia bei ni $1.5m pungufu unaongea
 
Back
Top Bottom