Plot na magari yanauzwa - plot buyuni ilala - medium density ina official title/certificate! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Plot na magari yanauzwa - plot buyuni ilala - medium density ina official title/certificate!

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Not_Yet_Uhuru, Feb 4, 2012.

 1. Not_Yet_Uhuru

  Not_Yet_Uhuru JF-Expert Member

  #1
  Feb 4, 2012
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 1,305
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Wadau

  PLOT ILIYOPIMWA NA IN CERTIFICATE
  Plot iliyopo katika vitalu Vipya vilivyopimwa rasmi vya a serikali "planned plots buyuni ilala", ina title (certificate) na ni pahala pazuri sana kwa kuanza ujenzi. Ukubwa ni zaidi ya square meter 1400. (medium density areas) ni makazi mapya karibu na viwanja vipya vya makazi ya waliohamishwa dar international aiport/kipawa.

  Genuine buyers only!

  Bei inaanzia 10milion, we can negotiate below that kama umebanwa sana.

  MAGARI HAYA PIA YANAUZWA:

  NISSAN PICK-UP; -HARD BODY
  Single Cabin, Model 2002; Manual; Good Condition, working fine,
  MillageJust above 95,000km; RED in Color.
  Bei 6milion, starting prrice.

  NISSAN SUNNY SALOON

  Model 1998; Auto; Very Good Condition, No damage or dents,
  Mileage Just above 100,000km; Dark Grey in Color.
  Bei 4.5milion, starting prrice.


  No middleman!
  If you find your choice, please dont hesitate to Private Message (PM) me soon by clicking my avatar to get a PM access.

  Pamoja daima...V!!
   
 2. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #2
  Feb 4, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,151
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Du mkuu nimekukubali price zako si za kitamaa kabisa,unaweza ukatuwekea pix za hizo magari tuzione kwanza maana bei nzuri kweli
   
Loading...