Plot inauzwa Sinza Mori

Plot inauzwa Sinza Mori

Status
Not open for further replies.
Duh haya kaka naona umeamua kutumia platform yangu
 
we usiwe mtu asiye elewa, #Kingkong amefanya hivyo ili wewe utaje bei maana matangazo yote ya biashara lazima uweke bei, sasa unakaa hapa kutujazia saver unataka tuelewane..tunaelewana nini???

Tulitoa Malamiko kwa Mods watu wanaouza bizaa wasipoweka bei wayafute matangazo yao maana wanajaza server tu kwa watu kuuliza maswali mengi wakati ilitakiwa yeye(seller) awe ashaeleza kila kitu yani buyer ni kunyanyua cm na kupiga tu,mambo ya kuuliza bei gani ni kujaza seva za JF.
Cc:
Invisible , Paw , Maxence Melo
 
Last edited by a moderator:
Plot bado ipo? ila maeneo hayo usiku machangudoa wengi utatupa asb kaz ya kuokota kondom zilizotumika
 
Duh!
Sinza ina eneo kubwa hivyo halijajengwa?? Sio eneo la wazi kweli??
Anyway, hapo Mori patafaa sana kudondosha guest house ya fasta fasta.
 
[QUOTEpost: 9087177, member: 217073"]Bei maelewano....nitafute kwa maelezo zaidi[/QUOTE]

Weka bei, hata ukiweka bei bado maelewank yatakuepo tuu.

Ni muda sasa wafanya biashara wa mitandaoni kufanya biashara "kisasa" na kuacha kufanya biashara "kizamani/kishamba"

Ulipaswa kuweka

- Picha

- Bei

Na maelezo kwa kirefu na sio briefly namna hio.

Huo ni ushauri Wangu kwako.


MAGARI7
 
Umeongea na nani wewe....
Hebu tupunguze masikhara kwenye ishu serious

Wewe ndo mpuuzi, unauzaje kitu bila bei? Biashara ya mtandaoni huijui? Huyo jamaa amekuzid akili kwa kukukejeli na biashara yako isiyo na bei
 
Sina maana ya kukejeli biashara yako wala kukuharibia, lakini, kama bei ni hio milion 950 ulioitaja, kwakweli ni "kufuru"

Jaribuni kuweza kupanga bei ambazo zinaendana na hadhi ya eneo na bei ambazo zina tamkika.na kukubarika. Hizo hela ni nyingi sana aisee.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom