Plot inauzwa mpiji darajani

Plot inauzwa mpiji darajani

JRK

Member
Joined
Jul 10, 2012
Posts
47
Reaction score
11
Plot inauzwa Mpiji darajani, ni karibu na bunju mwisho, karibu na bara bara, dakika 5 kutoka barabarani kwa mguu.. ina upana wa foot 20 na urefu wa foot 30... bei ni 4.7M..

kwa mawasiliano 0782828138 au PM
​
 
Mkubwa una maana ni mita 6.6 kwa mita 10 hivi?
 
namaanisha miguu ndugu yangu.. ni mkubwa wa wastani unaruhusiwa kuona pakikuridhisha unanunua..
 
Naomba unijuze kama imepimwa na kuwa na hati tafadhali
 
haijapimwa, hati iliyopo ni ya serikali ya mtaa..,
 
Back
Top Bottom