Billion mbili nukta tano mkuu πBilioni ngapi..? π€π€ππ
Naona mwenge imegeuka dubaiBillion mbili nukta tano mkuu π
Kinachoniacha hoi ni hiyo inatoa ''ada'' ya kwenda kuangalia! Yaani mtu unataka kwenda kuangalia mali ambayo kama utaipenda unalipa zaidi ya bilioni mbili za madafu halafu eti unaambiwa ulipe ada. Hivi kuna uhaba wa viwanja namna hii?Yan bongo viwanja vina bei kuzidi hata New York π
Ndio kama unaweza kununua kiwanja cha bilioni haiwezi kukushinda ada ya kuangalia sh 30-50k. Hii ni kwa ajili ya kurahisisha kazi ya agent kutoka mahali alipo mpaka kwenye eneo kwa kujali muda na gharama za usafiri.Kinachoniacha hoi ni hiyo inatoa ''ada'' ya kwenda kuangalia! Yaani mtu unataka kwenda kuangalia mali ambayo kama utaipenda unalipa zaidi ya bilioni mbili za madafu halafu eti unaambiwa ulipe ada. Hivi kuna uhaba wa viwanja namna hii?
Matangazo ya viwanja Daslm napenda kuona hizo Billion zikitamkwa tu..
Huwa mnatamka Billion mpaka kwenye bara bara za
Inategemea hiyo barabara ya vumbi iko eneo gani, inawezekana ni eneo lenye thamani kubwa kiasi kiwanja eneo hilo kufika bilioni.huko
M'bongo kila biashara anapiga mahesabu ya kurudisha fedha na kula faida kwa muda mfupi. Hii inaonyesha kabisa watu tuna maono ya muda mfupi na hatujui biashara ni nini! Kwani huwezi kupata faida kabla mtaji haujarudi?Nina miaka 45+ nikinunua eneo hilo kwa 2.5b natakiwa nijenge jengo lenye thamani ya B ngapi hapo na je nitapangisha kwa shili ngapi kwa mwezi na je kabla sijafika miaka 60+ izo B zitakua zimerudi? au nitaanza kula faida nikifikia miaka mingap? ( TUFENYE IZO B ni pesa halali sio za utakatishaji,sio diri,sio za wizi)
Naona mwenge imegeuka dubai
Nashauri tafuta watu waliobobea kwenye masuala ya fedha wanaweza kukusaidia hizi hesabu faida na hasara.Nina miaka 45+ nikinunua eneo hilo kwa 2.5b natakiwa nijenge jengo lenye thamani ya B ngapi hapo na je nitapangisha kwa shili ngapi kwa mwezi na je kabla sijafika miaka 60+ izo B zitakua zimerudi? au nitaanza kula faida nikifikia miaka mingap? ( TUFENYE IZO B ni pesa halali sio za utakatishaji,sio diri,sio za wizi)
π juzi kati nmeambiwa kuna dada tu kanunua eneo obay ,bongoyo usd 4.5Matangazo ya viwanja Daslm napenda kuona hizo Billion zikitamkwa tu..
Huwa mnatamka Billion mpaka kwenye bara bara za vumbi huko..
Safi mpambanajiPlot For Sale at Mwenge.
Location: TRA rd/Mazwile st, opposite Kenton High Sc.
Size: 1154.5061 SQM (12,427 SQFT).
Land use: Commercial/Residential.
Price: TZS 2.5B, Negotiable.
Document: Title Deed.
For more information or to schedule a viewing, kindly contact us. A small viewing fee will apply.
Contacts: 0784 829565, 0767 833345, 0627 605807
@prathrealestate