kutoka morogoro road kuna umbari gani kuja kwenye kiwanja?Kiwanja kinauzwa
Sehemu: Malamba Mawili - Mbezi
Ukubwa: mita 23 kwa 15
Bei: Mil. 4 (4,000,000)
Mazungumzo yapo
Umeme, maji vipo.
NiPm tufanye Biashara
kwanini unakiuza?Ni mwendo wa dk 9 - 12 hv kwa gari maana barabara haijawekwa lami.
mita 23 kwa 15 kidogo sana me nakupa milioni 2 kama upo tayari tufanye biasharaKiwanja kinauzwa
Sehemu: Malamba Mawili - Mbezi
Ukubwa: mita 23 kwa 15
Bei: Mil. 4 (4,000,000)
Mazungumzo yapo
Umeme, maji vipo.
NiPm tufanye Biashara
hii simu yako haipokelew na msg nikituma hazijibiw nimeanza kupata mashakaMkuu nichek 0765347401 tuongee vizuri