Halafu kuna yule Bi Zenabu wa Aunt Zainab Natural Super Clay alitangaza humuhumu kuwa anauza eneo kubwa la shamba lake huko. Binafsi sijaliona lakini alisema lipo njia hiyo hiyo ya kwendea Shungubweni beach kutokea Mkuranga. Wahini.